SHANGAZI 01

 Simulizi:SHANGAZI

Sehemu ya 01


 Baada ya kuhitimu kidato cha nne mwaka 2023  niliamua kwenda kumsalimu mjomba kwani nikipindi kirefu sana nilikuwa sijamuona .

   Hivyo basi niliongea na mama pamoja na baba wakanikubalia kuhusu swala la kumtembelea mjomba lakini baba aliniuliza swali endapo matokeo yakitoka nimefaulu nitachagua cha kufanya yani niende Chuo au niendeleze kidato cha tano.

    Binafsi nilikuwa nahamu sana ya kufika kidato cha tano hivyo basi nilimjibu baba bila wasiwasi kuwa lazima niende kidato cha tano baada ya kumjibu vile wote walifurahi ususani mama angu kwani katika watoto wake Mimi ndiyo nilikuwa kama kitumbua yani mama alinilinda kwa hali na mari nisipate matatzo kuliko hata kaka angu Mkubwa kwani mama alijaliwa watoto wawili tu na katika watoto hao Mimi ndiyo kitinda mimba pamoja na kaka angu Mkubwa ambaye kaitimu Chuo kikuu na alikuwa kabatika kuajiliwa shule moja ya sekondari alikuwa akifundisha.

   Basi baada ya kikao kidogo cha familia kumalizika niliamua kwenda kulala nilifika nikatandika kitanda kisha nika panda kitandani na kulalaa.

 Asubuhi na mapema niliamka nikafanya usafi nilishika fagio nikafagia kisha nikaoga nikaelekea kwa rafiki yangu kumuaga kwani safari ya kuelekea kwa mjomba nilikuwa ni kesho.

 Nilifika kwao na rafiki yangu ambaye alijulikana kwa jina la david lakini sikumkuta kwani alikuwa Keisha safili binafsi nilisononeka sana kwani David aliondoka bila hata kuniaga hivyo basi niliamua kurejea nyumbani huku nikiwa nimesononeka sana.

 Nilipofika nyumbani nilimkuta mama Keisha pika chai hivyo basi nilikaachini mama akanipa chai pamoja na mandazi mawili huku akianza kunitekenya na kumisanifu kama mtoto binafsi nilipenda sana jinsi vtulivyokuwa tunaishi na mama angu hata watu walitushangaa kwani nilikuwa na miaka18 nikidekea kama mtoto pindi nikutanapo na mama angu.

  Baada ya kunywa chai niliondoka nikaenda kwa kaka angu kwani alikuwa keishatoka kzin hivyo basi nilielekea nyumbani kwake kwani alikuwa kapangisha jirani na nyumbani 


Niliona watu wakichapa kazi hususani watu wa masteshinari  walikuwa wako bize sana na mabaasha kwani wahitmimu wa kidato cha nne walikuwa wakitafta maali pa kujistili yani kufanya kazi.

  

Katika jiji ilo La Mwanza kulikuwa na biashara nyingi sana zikiendelea kama ilivtokawaida penye miti mingi hapakosi wajenzi ,hivyo hivyo jiji la Mwanza watu waliibiana sana kwani watu walisema kuibiwa nikama Kukaribishwa .


Baada ya masaa machache nilifika kwa kaka lakini sikumkuta kwani alikuwa bado ajarejea kutoka kazini, nilimkuta shemeji marium akiwa anajiandaa kuingia jikoni kuandaa chakula cha mchana .


Basi shemeji marium alinikaribisha moja kwa moja hadi ndani kisha tukasalimiana akaniwashia TV kisha akaendelea na shuguli zake jikoni niliangali TV hadi usingizi ukanipitia , dakika kadhaa niliamshwa kula chakula kwani kulikuwa teale pia kaka nae alikuwa Keisha rudi hivyo basi tulipiga story kama kawaida uku tukila chakula.


Baada ya masaa kadhaa ulikuwa jioni sasa nikimuaga kaka pamoja na Shem kuwa Mimi kesho naondoka naelekea musoma kwa mjomba kaka ake na mama  , basi kaka alilalamika sana akidai kuwa hatabaki mpweke sana kwani tumezoeana pia sehemu nae alilala mika basi kaka alinikabidhi elf 50 kama nauli pamoja na matumizi ya hapa na pale pia akanipatia simu kama zawadi akaniambia nikasajili line tutakuwa tunawasiliana.


Shemeji marium alinikabidhi namba yake pamoja na ya kaka huku akinisii kuwa nikisha sajiri line yeye ndiye awe wa kwanza kupigiwa. 

Binafsi niliipenda sana simu ambayo kaka alinipa kwani ulikuwa ni tecno w4' na ndiyo ilikuwa Mara yangu ya kwanza kutumia simart phone , baada ya hapo walinisindikiza nikaelekea nyumbani kujiandaa na safari ya kesho.


Nilipofika nyumbani sikumkuta mama wala baba basi niliingia ndani nikachukua kitamvulisho change moja kwa moja hadi kwa Wakala nikasajili line ya voda , kisha nikarejea nyumbani nilipofika nikaingiza namba nilizopewa kisha nikaweka simu charge.


Usiku baada ya kula nilielekea chumbani kwangu kupanga nguo mama alikuja kunisaidia kisha anania elf 30 kisha akaniaga .

Sikuhiyo usingizi sikupata kabisa yani nilikuwa nawaza safari itakuaje.

 Asubuhi niliamka nikaniandaaa kisha nikamwaaga baba na mama nikaondoka huku mama akibaki alitokwa na machozi

Ilipoishia.... Mama alibaki akitokwa na machozi.

Kiukweli hata Mimi niliuzunika sana kwani tulikuwa tumezoeana sana namama angu hivyo mpaka nafika buzuruga stendi nilikuwa bado namuwazia mama angu 

  " nipe nauli dogo" ilikuwa kauli ya konda wa daradara .

     Basi niliingiza mkono mfukoni nikatoa shilingi 400 kisha nikampa nilitelemka na kuelekea kwenye basi ambalo nilikwisha katiwa tiketi.

 Niliingia nika keti nikatulia kisha nika washa simu yangu nakuanza kama kawaida sikutaka kuvunja ahadi tuliyopanga na shemeji marium nilimpigia simu akapokea

   " mambo Shem...! 

" poa , nani lakini namba ngeni...? Shem aliniuliza.

  " nimimi frank, namba yangu nimesajili .

" OK , VP umeshaondoka , Shem wangu au umegaili safari...? Shemu marium aliniuliza.

     " ndiyo Niko kwenye basi' tu naondoka saa moja kamili .nilimjibu 

   " OK ,,! Shemu wangu badae saizi nakazi. 


Baada ya maongezi nilikata simu nikamtafuta mjomba ili nimtalifu kuwa nimeondoka ajiandae kunipokea.,lakini simu haikupatikana basi nilikata simu nikaamua kupumzika kidogo.


Basi mda ulifika tukaanza safari tukiwa njiani nilisari sana kwani nilikuwa nilisikia kuwa ajari zinatokea Mara kwa Mara hivyo basi nilimuomba mungu sana ili nifike salama.


Baada ya masaa kaza tuliingia mkoa wa Mara sasa tulikiwa tuko wilaya ya bunda , tukiwa bunda stendi njaaa alikuwa imenikamata sana basi nilinunua soda na biskuti nika anza kula baada ya kula sasa nilikumbuka kumtafta mjomba kwa Mara nyingine.

 Nilichukua simu yangu nikawasha kisha nikampigia mjomba akapokea nikamueleza kuwa Niko njiani nimefika bunda ilikuwa mida ya saa NNE na nusu basi mjomba aliniambia atanipokea nisiwe na wasiwasi kwani nilimtajia jina la kinda akaniambia atawasiliana nae .

   Nikiwa kwenye gari Mara konda nilisikia akiuliza frank ninani humu , basi nilinibu kuwa ni Mimi basi aliniambia nisiwe na wasiwasi atanipeleka mpata kwa mjomba .


Baada ya kusikia hivyo nilifurahi sana


Safari iliendekea nikajikuta nimepitiwa na usingizi sikupata bahati ya kutazama mazingira.

   " wewe dogo , tumefika" ilikuwa ni sauti iliyonishitua usingizini ,

   Nilipofungua macho nikamuona konda akinishika mko na kunitarifu kuwa tumefika msoma .

 Moja kwa moja konda alinipeleka mpaka kwa mjomba binafsi sikuwa na mfahamu mjomba kwani nimda mrefu tangu enzi za utotoni alikuja kwenye kifo cha bibi kizaa baba.

  Konda alinipeleka mpaka dukani ambako tulimkuta baba mmoja akiwa kaketi kwenye kiti akingojea wateja hapo stendi.

   " karibu sana frank " mjomba alinikaribisha , kumbe alikuwa ndiye aliyekuwa dukani kwambali alifanana na mama angu.

   Sikuiyo nilishinda dukani na mjomba mpaka jioni ndipo alipopiga simu nyumbani na kumuagiza bintie aitwaye kwa jina la Anna kuwa ajeanichukue.


Baada ya dakika kadhaa Anna alifika tukasalimiana mjomba akanitambulisha kuwa ndiye binti wake na ndiye mtoto Wa kipekee kwani katika maishani kwake alibatika kupata mtoto mmoja tu.


Baada ya utambulisho tuluongozana na Anna moja kwa moja kuelekea nyumbani , mjomba alikuwa kajenga nyumba iliyokuwa na sebure pamoja na vyumba viwili katika kata ya makoko.


Yote haya niliyajua kupitia kwa Anna alikuwa ni binti Wa makamo tu alikuwa nae kaitimu kidato cha nne  akingojea matokeo.


Basi tulifika nyumbani nikamkuta mama mmoja akiandaa chakula cha usiku kwani Giza lilikwisha anza kuingia.

    " shikamooo mama" Anna alimsalimia 

"Marahaba ' mwanangu vipi huyu ndiye mgeni wetu, alimuoji " moja kwaja nikagundua kuwa huyu ni shangazi .

    " shikamooo shangazi.. " nlimsalimu huku tukipeana mikono .

  " marahaba baba ujambo" aliitikia huku akinitazama kwa makini kabisa.

    " sijambo shangazi, " nilimjibu huku nikitoa mkono wangu mikononi kwake.

  " pole na safari baba karibu sana hapa ndiyo nyumbani" 

   " asante SHANGAZI" 

Kipindi yote hata yakiendelea Anna alikuwa Keisha ingiza mabegi yangu 

Basi nilikaribishwa ndani nikaingia nakuketi kwenye kochi Anna akawasha TV kisha akaweka nyimbo za dini tukawa tunaangalia huku Shangazi akipika nje.

      " VP frank unasoma..? Anna aliniuliza.

" ndiyo nasoma lakini nimehitimu 4m four " nilimjibu.

     " waaao ...hata Mimi pia nimehitimu" Anna alijibu huku hakitabasamu.

     Kiukweli Anna alikuwa ni Mrembo tena sana tu na alikuwa anaonekana ni mtu ambaye yuko makini sana katika swala la elimu.

       Mda wa chakula uliwadia tukajumuika mezani pamoja na mjomba kwani alikwisha rudi , tukiwa tunakula mjomba alinisiii sana niwe makini na msoma kwani kunavijana wajabu sana hivyo alitaka niwe makini nisije nikajikuta natumbukia kwenye makundi ya ajabu.


Baada ya kula nilielekezwa maali pa kulala nikaingia nikakuta vitanda viwili Sikujua kimoja ni chanani basi nilipanda kitandani nikapumzika kulingana na uchovu nilikuwa nao.

   Nilishituka usingizini nikatazama pembeni nikakuata Anna Kalala kitanda cha jirani basi nikapotezea .

     Asubuhi niliamka mapema sana anna alikuwa bado amelala nilipotazama kitandani sikuamini nilichokiona Anna alikuwa kama alivyo zaliwa shuka pembeni mwili pembeni  alafu kitumbua kinawakaa kama dhaabu yani nilitazama hadi nikadindisha gafula anna alishituka akashangaa namtazama niliona aibu nikatoka chumbani hadi chooni .


Nikiwa chooni niliwaza mengi sana huku mashine yangu imesimama nilitoka chooni nikashika fagio nikaanza kufanya usafi kama mwenyeji vile.


Sasa niliyatazama mazingira vizuri kiukweli mjomba alikuwa ndiyo ananza kujenga sasa mji wake kwani pembeni alikuwa kapiga Bonge la mjengo utazani gesti .


Baada ya usafi nilirejea chumbani nikiwa bado na aibu nilimkuta Anna kainama chino akifanya usafi huku wowow lake likichezacheza kiukweli alinimaliza nilirudi haraka kabla ajanitazama nikaketi nje.


Shangazi alitoka ndani akiwa na kanga moko


Basi nikiwa pale sebureni simu yangu iliita nikapokea alikuwa ni mama nikapokea 

"Hallo..! Shikamoo mama..!"

"Marahaba mwanangu" mama alijibu huku akicheka

"Nikamuliza mama mbona unacheka kulikoni..?" Nikamuliza

"Nimefurahi kusikia sauti yako kwani nimekumic mwanangu" mama alijibu.

"Hahahaha" binafsi hata Mimi nilifurahi.

 Tukiwa bado tunaongea Mara gafla simu ilikata sikujua Nini tatzo basi nikajarbu kuwasha ikashindikana.

 Nikajarbu Tena ikashindikana basi nikaamua kuiweka kwenye charge kwani nilijua fika charge itakuwa imeisha.


Masaa yalipita chai ikawa imekwisha hiva niliitwa kunywa, nikiwa chumbani nikaelekea sebureni kwenda kunywa chai.

 Nilifika nikanawishwa Kisha shangazi akanikalibisha chai tukiwa tunakunywa chai Mara Anna alinioji"vipi frank ungependa kusoma tuition..?"

   "Ndiyo" nilimjibu huku nikimtaza .

" Poa basi kesho tutaenda wote lakini kwa Leo utabaki kupumzika" alisema Anna

     "Alivyosema hivyo nilijua fika kuwa Anna anasoma pre form one"

Baada ya chai Anna aliniaga akaondoka kuelekea tuition, nyumbani tulibaki Mimi na shangazi sebuleni tukiangalia movie ya kizungu yani tamthilia ilukuwa imerushwa itv.

 Tukiwa tunaangalia mara gafla watu walianaza kufanya romance wakilana mate mubashara huku wakitomasana niliamka nikaelekea chumbani huku nikiwa nawaza juu ya Hilo tendo nilijua muacha shangazi sebuleni .

 Nilifika chumbani nikaketi kitandani huku nikifikilia yalio tokea.nikiwa chumbani Mara nikasikia sauti" frank frank" alikuwa ni shangazi aliniita.

 Niliamka nikaelekea sebureni kwenda kumsikiliza shangazi lakini nilipofka sebureni sikumkuta shangazi nikajarbu mumuhta"shangazi" akanijibu kuwa " njoo uku frank"

 Kabla sijachukua mahamuzi ya kumufuata nikajiuliza shangazi anataka Nini.

 Nikiwa nawaza bado Mara gafla shangazi aliita Tena basi nikaamua kuingia.

 Nilipofka chumbani nilimkuta shangazi amekaa kitandani kwake.


ITAENDELEA...

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.