Aina Za Mashairi
ΒΆ Aina za mashairi huzingatia idadi za mishororo katika ubeti mmoja.Baadhi ya aina hizi ni;
βTathmina/tathmia_ni shairi la mshororo mmoja katika Kila ubeti.
βTathnitha/tathnia_shairi la mishororo miwili kila ubeti.
βTathlitha_shairi la mishororo mitatu kila ubeti.
βTarbia_shairi la mishororo minne kila ubeti.
βTakhimisa_shairi la mishororo mitano kila ubeti.
βTasdisa_shairi la mishororo sita kila ubeti.
βUsaba_shairi la mishororo saba Kila ubeti.
βUnane_shairi la mishororo minane Kila ubeti.
βUtisa_shairi la mishororo tisa kila ubeti.
βUkumi_shairi la mishororo kumi kila ubeti.
No comments:
Post a Comment
Your Thoughts