1.UTANGULIZI
¶SHAIRI_Ni utungo wa sanaa ya fasihi uliotungwa kwa mpangilio maalumu, lugha teule ya mkato na ya kitamathali ili kuwa silisha ujumbe kwa hadhira. ¶Mashairi huweza kugawika katika matapo mawili: √mashairi ya arudhi/kimapokeo/jadi. √mashairi huru/mamboleo/masivina/mapingiti/vue.sura zinazofuata 2.Istilahi za mashairi 3.Aina za Mashairi 4.Bahari za Ushairi 5.Bahari Zaidi 6.Uchambuzi wa Mashairi 7.Maswali 8.Majibu
Your Thoughts