MOROTO

Emmanuel Lee
By -
1
MOROTO
Nini hasa maana ya Moroto
Ukisikia Moroto hapo hakuna wema, hakuna upendo.
Watu hubadilisha watu, pasipo na utu wapo watu wasio jua utu; Moroto katu sieleweki nimeandika nini. Pia mimi sielewi maana MOROTO hivyo ndivyo hufanyia watu.

MOROTO haina utu ila kuna watu wamejaa, hivyo Moroto  ni mahali.
Mahali pamejaa ubinafsi kama si uchoyo kila mtu hufanya shughuli zake kivyake hakuna ule ujirani uliozungumziwa kwenye vitabu vitakatifu
Acha niseme kwenye kitabu kitakatifu, kinachowaongoza wakristo; biblia.


Post a Comment

1Comments

Your Thoughts

  1. Ni simulizi iliyo jikoni ikiandaliwa naye Mtunzi Mike Gonard; 'sauti changa'. Siya kukosa

    ReplyDelete
Post a Comment