NGOJA NILEWE 4

 NGOJA NILEWE 4



MTUNZI: Mbogo Edgar

Ilipoishia

Ila pia kutanua miguu, na kuacha duka la mzungu wazi, na kumfanya Sebastian atambue kuwa, mwanamke huyu ambae sasa walisha tambuana majina, kuwa ajavaa nguo ya ndani, “kwanini aujaowa mpaka sasa, wakati unamaisha mazuri?” aliuliza Adellah, ambae sasa alikuwa amepandisha mguu mmoja kwenye kochi, na kuachia kutumbua wazi, yani kama avile akuwa na taarifa ya uwazi huo, uvunguni kwake, ata alipo mtazama usoni, alimwona akimtazama kwa macho legevu ya kutamanisha kumnyandua, “nitaoa tu” alisema Sebastian huku anacheka kama bwege. . ,…… . ENDELEA……..


Waliendelea kunywa katika hali ya kushawishiana, siyo tu Sebastian alie shawishika, kwa kutazama vungu ya Adellah, ambayo daima ilikuwa wazi kama mlango wa chai mahalage, ila pia kwa Adellah, ambae siyo tu wine ili mlegeza, ila pia alisha tamani kuona mwiko wa Sebastian ukiingia kwenye chungu chake, na kuikoroga kunde yake, maana alivutiwa kwa jinsi alivyo iona ikiwa imejaa pale mbele ya kaptulah, ukiwaona wanavyotazama asa wakati wa mmoja anapoinuka kwenda chooni, ungewaona wanavyoongea, yani ungejuwa tu kwamba hii isingewaacha salama.


Naam masaa mawili mbele, wakiwa wamekausha chupa moja ya wine, na ya pili inaelekea nusu, tayari Adellah, alikuwa amesha amia palechini alipo kaa Sebasitia, tena wakikaa kwa kugusana, huku Adellah akujari kijigauni chake kifupi kilichopanda mpaka juu ya mapaja, kuna wakati wakati anainuka kuelekea chooni, kikazidi kupanda kuonyesha eneo muhmu zaidi kijinsia, yani jiko la bibi, lakini Adellah, akionyesha kujari kabisa, tena analipo toka chooni, alionekana akiweka gauni lake vizuri, na wakati huo aliluhusu ata makalio yake kuwa wazi kabisa, ukweli uvumilivu ulimshinda kijana wetu, “dada Adellah, naona muda umeenda sana” alisema Sebastian, ambae aliyazingatia maneno ya Adellah, kwamba ata ile kuja alifanya kutoroka kwao, sasa kwa jinsi alivyochelewa itakuwaje, “haaaa! Yani unanifukuza Seba, kwani siwezi kulala hapa kwako, nitaingia nyumba ya nani na hivi nilivyo lewa” alisema Adellah kwa sauti ya kilevi, huku anakaa kwa jiachia pale chini, “wasi wasi wangu usije ukasemwa kesho” alisema Seba, “kwani kusema ni kitu basi, kulinganisha na kuwa na wewe hapa” alisema Adellah, huku anajifanya kuinua mkono na kuulaza kwenye sehemu ya mbele ya Seba, ya ni usawa wa dudu.


Nikweli alifanikiwa, maana mkono ulishuka pale pale, na kulala juu ya mhogo wa kijana huyu, wakati Seba anashtuka na kuutoa mkono wa Adellah, haraka, Adellah nae anajifanya kushtuka, “he! nime gusa nini?” anauliza Adelah, huu anarudisha mkono wake pale kwenye mwiko, ilikujilizisha alicho kigusa, “usifanye hivyo Adellah” anasema Sebastian, kwa sauti flani ya kumtahaharisha Adellah, lakini yenye utani ndani yake, “jamani Seba kwani nikigusa kuna nini” alisema Adellah, huku anaushusha mkono kwenye dudu ya Seba, anaigusa dudu, na kuiminya kidogo, ukweli imesimama aswaaa, “Adellah, ujuwe wenzio tunamuda mrefu atuja fanyahayo mambo, tunapeana shida” alisema Sebastian kwa sauti ya utani lakini iliyo legea kwa matamanio, “jamani pole, lakini naweza kukusaidia ukitaka” alisema Adellah, kwa sauti iliyo legea kweli kweli, huku anajiegemeza kwenye bega la Seba, na mkono wake unaendelea kuchezea dudu ya mwenzie, “kwani wewe ujatamani?” aliuliza Sebastian huku anapenyeza mkono kwenye gauni la Adellah, na kuminya chuchu, “asss, jamani seba, mwenzi ukinishika maziwa natamani” alisema Adellah, ambae mpaka hapo tayari alijuwa amesha fanikiwa.


Sebastian ambae akujuwa malengo ya Adellah, tayari alisha shawishika kula kitumbua, lakini akakumbuka kuwa muda umeenda na mschana wawatu bado ajaondoka kwenda kwao, “lakini muda umesha enda sana Adellah, unaonaje tukifanya kesho?” aliuliza Sebastian ambae bado alikuwa anapekecha chuchu ya Adellah, huku akisikilizia mkono wa Adellah, uliokuwa unaendelea kupapasa dudu yake, “jamani sema, ya kesho ni yakesho, kuhusu nyumbani niachie mimi” alisema Adellah, ambae safari hii, alikuwa anafungua zip ya kaptulah ya kijana huyu, “unaanya nini Adellah?” aliuliza Sebastian kama bwege, “we niachie mimi uone nataka kufanya nini?” alisema Adellah, ambae alipomaliza kushusha zip ya kaptulah ya mwenzie, akaingiaza mkono na kupekenyua chupi, kisha akaibuka na mhogo wa shamba la kiangazi, yani kitu kime jitutumua kama mnara wa redio ya RTD.


Hapo Adellah akajiinua na kusimma usawa wa Sebastia kiwa amemtazama, kisha akapandisha gauni juu, usawa wa tumbo, kisha akashuka chini na kuikamata fimbo, akalengesha kwenye tundu, na kujishusha kabisa, na kwabahati nzuri tayari chungu, kilikuwa kama kime tambaliwa na konokono, kwa utelezi iliyokuwa nayo, yani iliteleza mpaka ndani, sizani kama kunaaja ya kuimulia kila kilicho tokea, ila kawa kifupi ni kwamba, lilitumika lisaa lizima, kwa mchezo ule, huku wakibadiri mitindo kadha wakaza, waluionekana kufurahia tendo, mpaka Sebastiana anashusha mzigo, walikuwa wamelizika kabisa, awakuwa na wazo la Adellah, kurudi nyumbani, hivyo walilala pamoja kwenye kitanda kimoja.******


Saa mbili na nusu, za asubuhi, ndio muda mbao Sebastian aliamka na kujikuta yupo peke yake kitandani, akainuka na lakini alipotazama kwenye kochi dogo mlechumbani kwake, akamwona Adellah, amekaa kwa kujiinamia, mfano wa mtu mwenye majonzi mengi sana, “vipi Adellah! Kumbe ulisha aamka, alisema Sebastian huku anainuka toka kitandani, na kuelekea bafuni, lakini akujibiwa chochote, Sebastian anamaliza kukojoa, anachukuwa mswaki na kuanza kuswaki, kisha anatoka na kumkuta Adellah, akiwa amesha tandika kitanda, na kukaa tena pale pale kwenye kochi, akiwa amejiinamia, vipi unawaza unakavyo enda kukumbana na dada yako?” anauliza Sebastian, huku anajifunga tauro na kuelekea sebuleni, ambako anakuta kumesha fanyiwa usafi na kila kitu kimepangwa vizuri kabisa.


Sebastiaba anatabasamu peke yake, huku anaelekea jikoni, ambako anakuta siyo tu kama sebuleni kuwa kumesha dekiwa, pia ata vyombo vimesha oshwa kabisa, anarudi chumbani kwaajili ya kumpongeza na kumshukuru mwanamke huyu, ambae amelalanae siku waliyo juwana, bado anamkuta amejiinamia kwenye kochi, “asante sana Adellah, lakini umejitesa sana, yani umeamka mapame…” anasema Sebastian, huku anatowa tauro kiunoni, kwaajil ya kujiandaa kuoga, ambae anagunduwa kuwa muda wote anaongea mwenyewe, bila kujibiwa na Adellah.


Sebastian akiwa kama alivyo zaliwa anamgeukia Adellah, “Adellah, mbona hivyo, vipi kwani kuna tatizo limetokea, au unawaza namna ya kujitetea kwa dada yako?” aliuliuza Sebastian, ambae sasa aliguundua kuwa Adellah, akuwa katika hali ya kawaida, “dada nimesha enda kumwomba msahama, ila nafikilia tulichokifanya jana usiku” anasema Adellah, kwa sauti yenye majuto makubwa, “kiukweli samahani sana Adellah, ila kiukweli sikudhamilia kukufanyia vile….” kabla Seba ajamaliza kuongea, tayari Adellah, alisha dakia, siyo hivyo, mbon ata mimi nakupenda, tatizo nikwamba sikuwa makini na tarehe, sababu siku za hivi karibuni sina mwanaume” alisema Adellah, kwa sauti ya unyoonge mkubwa.


Hapo Sebastian akaachia kicheko cha chini chini, “kumbe ni hivyo Adellah, minilijuwa kunatatizo, ebu! sikia Adellah, wewe ni mwanamke, kuzaa ni moja ya jukumu lako, na mimi ni mwanaume kutunza familia ni jukumu langu, hivyo akuna kitakacho aribika, ikitokea hivyo tutaongea na dada” alisema Sebastian, na hapo Adellah, akainua uso na kumtazama Sebastian, kwa macho yaliyoanza kuchamka, “kweli seba, kumbe unamalengo mazuri na mimi” alisema Adellah, huku anauka na kumkumbatia sebastian, ambae akuwa nanguo ata moja mwilini, kitu alicho mwambukiza mwezie, nae akavua na kuangukia kitandani, ambako walinyanduana kweli kweli.

Naam huo ndio ulikuwa mwanzo wa penzi ili jipya, ambalo lilichanua na kuonekana na kila mtu, kuanzia siku hii ya kwanza tu, ambapo baada ya kumaliza kupeana dudu, asubuhi ile, Adellah, alienda kwa dada yake na kumweleza kuwa Sebastian alikuwa tayari kumwoa, “una uhakika Adellah, isijekuwa yule jamaa yako anakuja kusumbua baadae?” aliuliza Sophia, bahati nzuri na shemeji yake, alikuwepo, wote kwapamoja walimshauri Adellah, atulie na kufanya maamuzi sahihi, kwakufikilia maisha yake ya baadae, japo tayari yeye kama yeye alikuwa na malengo yake kichwani, “kama mtu anaonyesha anakupenda, na yupo tayari kuishi na wewe nivyema uka tulia nae na kuachana na yule mpuuzi, ambae umekuja kumfata nakumkuta bado hayupo tayari kufanya maisha na wewe” alisema Sophia, na Adellah, akaona kuwa nikweli huo ni ushauri mzuri, “basi shemeji wewe jipange siku moja mje hapa, tumfahamu huyo jamaa, siunajuwa mjini hapa, lazima tumfahamu, mtu unae enda kuishi nae, na kama ni kulala kwakwe luksa, we unaweza tu kulala” alisema bwana Philipo Mazengo, ambae nikama aliona kuwa ujio wa mchumba wa Adellah, ndiyo mwanzo wa mafaniko kwao, “lakini Adellah, hakikisha unatumia hakiri, ukikosea kidogo tu, umeaharibu maisha yako yote” alisema Sophia akionyesha msisitizo juu ya ilo.


Adellah ambae alijuwa fika kuwa dada yake asingekataa jambo ilo, sababu ukiachilia shida walizokuwa nazo, pia alikuwa anajuwa umuhimu wa mdogo wake kukubari offer ile ya kuolewa na kijana huyu, ambae faida yake walianza kuona week moja kabla, na leo pia, mida ya mchana Adellah, alitoka na watoto wa wili wadogo wa dada yake, nao wakaenda kutazama video na kupata chai kwa baba yao mdogo, ambae amesema kama ikiingia mimba atamuoa mama yao mdogo, ambako pia walishinda wakitazama video, huku mama yao mdogo akiwa chumbani anapewa dudu, mpaka mida ya saa kumi za jioni, ambapo waliondoka na mama yao mdogo, kwenda kununua chakula cha nyumbani kwao, wakimwacha kijana wetu anafanya maandilizi ya burudani yake ya week end, kama ilivyo kawaida yake, japo mida ya saa kumi nambili tayari Adellah, alikuwa amesha fika na mfuko wa rambo, aliowekea nguo za kubadirisha atakapo oga, au muda wowote atakapoitaji kufanya hivyo, mfano leo wakati wanachoma nyama, na kunywa pombe alikuwa amevaa kanga moja tu, na kama kawaida yake, akuwa amevaa ile nguo ndogo ya ndani.


 Kitendo cha mwanamke huyu, kuto kuvaa nguo ya ndani, kilimshangaza sana Sebastian, japo ilimpa wepesi kula kitumbua kila alipoitaji, mfano leo wakati wanapata mvinyo, walikuwa wanajikuta wakipandiana mala kwa mala, maana lilikuwa ni swala la kufunua tu, chuma ndani, japo mpaka kuna kucha, tayari Sebastian alisha gundua kuwa, Adellah alikuwa na chupi mbili tu, tena zote zimetoboka eneo la shamba la bibi, na kwenye pndo za kiuno.


Kwa kulijuwa ilo, siku ya juma pili siku ambayo kikawaida uwa aitumii kunywa pombe, kijana wetu alicho fanya ni kumtembeza mwanadada huyu kwenye maduka yanguo pale mbezi, na kumnunulia nguo kadhaa, za kutokea, na zile za ndani pia kadiri siku zilivyo enda ndivyo alivyo mnunulia vipodozi na manukato mazuri.*******


Naam week iliyofwata Sebastian alienda nyumbani kwa dada yake Adellah, ambako alikaribishwa kwa chakula na vinywaji, nazani nifedha aliyo itoa mwenyewe, ndiyo iliyotumika kuandaa, ukaribisho huo, ambao uliambatana na utambulisho, na kupewa lathmi Adellah, kwamba anaweza kujisogezea utamu, wakati wanafanya taratibu za kupeleka barua, na kuwajulisha wazee kule Lungwe.


Kabla ata mwezi aujaisha, tayari watoto wa Sophia ni kama waliamia nyumbani kwa Sebastian, ambapo walikuwa wanashinda kutwa nzima, kwa siku ambazo awakuwa wanaenda shule, na mpaka mwezi unatimia walikuwa wanalala na kuamkia kwa Sebastian, ambako sasa walikuita kwa mama mdogo, ambae sasa alisha pata sababu ya kujihakikishia kuwa mama mwenye nyumba, huku kitu kingine ambacho Sebastian alikisoma kwa mwanamke huyu, ni tabia ya kupenda dudu kupita kiasi, yani kila siku lazima ange omba ata mala mbili, au mala tatu, labda kwa siku ambazo Seba angerudi amechoka, ndio angedai japo mala moja.


Ilikuwa hivi, zikiwa zimetimia week nne, tangu wawili awa wanyanduane wa mala ya kwanza, tayari Adellah, alikuwa naonekana mrembo na mwenye kupendeza sana, Siku hiyo usiku wa kuamkia ijumaa, wakiwa kitandani, wamesha maliza kupeana dudu, Adellah akamweleza jambo Sebastian, “mwenzio sijaona siku zangu mwezi huu” alisema Adellah, kwa sauti iliyopoa kidogo, “kwanini sasa unakuwa mnyonge hivyo, kwani kua tatizo?” aliuliza Sebastian ambae ni mmoja kati ya wanaume wachache sana, wanao upokea ujumbe kama huu, toka kwa mwanamke asiefunga nae ndoa, bila mshtuko wowote, “kama mimba je?” aliuliza Adellah, kwa sauti ile ile yenye unyonge, na kumfanya Seba acheke kidogo, “kwahiyo unaogopa kuzaa?” aliuliza Seba, akimtania Adellah, “siyo hivyo, kwani we ujuwi nyie wanaume mlivyo, usije kunigeuka bule” alisema Adellah, na hapo Seba akatulia kidogo.


Seba alitumia dakika nzima kutafakari, kisha akamtazama Adellah, aliekuwa amelala pembeni, yake, “sikia Adellah, mimi sitokaa nimtelekeze mtoto wangu wala mke wangu, najuwa shida za mama kulea mtoto bila baba, nimeona mama yangu alivyoangaika kunilea peke yake, sitaki kurudia makosa ya baba yangu” alisema Sebastian kwa sauti iliyo jaa hisia toka moyoni, “kama nihivyo asante sana, kweho nitaenda kupima hospital, ilinijuwe kama ni mjamzito au la” alisema Adellah, huku anamkumbatia vyema Sebastian, na upeleka mkono mmoja kwenye dudu, ambako alikuwa anaenda kuiamsha waingie kwenye kipindi cha pili.


Naam siku ya pili, jioni Sebastian alirudi toka kazini, na kukuta Adellah, akiwa na majibu ya vipimo vya hospital vilivyo onyesha kuwa, tayari ni mjamzito, na tayari alisha katiawa kadi ya kuanza clinic, huku jina la baba wa mtoto likiwa ni Sebastian Samuel, hakika ilikuwa nifura kubwa sana kwa Sebastian, alijiona sasa anaenda kukamilika, na kwamba ndiyo wakati mwafaka wa yeye kumulisha mama yake na kuomba lidhaa yake ya kuoa, “yani dada amesisizitiza kuwa upeleke barua haraka, kabla wakina baba awajasikia kuwa umenipa mimba” alisema Adellah.


Naam, kazi aikuwa ndogo, maana ilimlazimu Seba kuchukuwa likizo ya mwezi mzima, miezi minne baadae, akaanza safari ya kuelekea mbeya kwa wazazi wa Adellah, akiongozana na Adellah, na Sophia mwenye, japo tumbo lilionekana kuwa kubwa, lakini wazazi wa Adellah awakuonyesha pinga mizi wala kuchukizwa kwa lile, ata Seba alishangaa kwa ule wasi wasi ambao Sophia na mume wake walikuwa nao mwanzo, sijuwi kwanini akufikilia kuwa, ata Sophia alikuwa na watoto wa wili na bwana Mazinge, lakini awakuwai kutoleana ata barua, “wewe umekuwa na bahati Adellah, umeenda tu nakupata mchumba na sasa amkuja kukuchumbia” alisema mzee moja, alie itwa kama shuhuda upande wakiume.


Mala baada ya kumaliza taratibu zote, Sebastiana kiwa amewaachia zawadi na fedha ya kutosha, wazazi wa Adellah, alimpatia Sophia nauri ya kurudia dar es salaam, yeye na watoto wake, kisha Sebastian na Adellah wakaelekea songea, mpaka Namabengo kwa mama yake Sebastian, ambae kiukweli alifurahi sana kuona kuwa mwanae amepata mwanamke na tayari mjamzito.


Kama kuna kipindi ambacho Adellah alidekezwa na akajiona amedekezwa, basi kipindi iki, akiwa na mama yake Sebastian, ambae muda wote tabasamu la furaha, alikumkauka mdomoni, alihakikisha mkwe wake anapata kila alichoitaji, isiwe mayai ya kukuwa kienyeji, maini ya kanga, na supu ya kwale, asitake nini ajaletewa, akilalamika maumivu kidogo tu, tayari amesha fanyiwa massaje ya kienyeji, Adellah akutamani kuondoka Namabengo, ata week mbili walizo kaa hapa aliziona zimeisha kwa haraka sana, kuliko ilivyokuwa kule Lungwe.


Lakini licha ya furaha ambayo ilikuwa inaonekana muda wote usoni kwa mama Seba, lakini siku moja, ikiwa imebakia siku moja tu, Sebastian aanze safari kuelekea dar, mida ya mchana Sebastina ambae aliitaji kuagana na mama yake, alishangaa kuona mama yake aonekani, akazunguka huku na huku, akumwona, lakini baadae akamkuta mama huyo, akiwa chumbani kwake, akiwametulia kimya, anasali, seba akatoka nje bila kumsemesha, maana hii ni toka utotoni mama sema anasema ukimkuta anasali usimsemeshe.


Seba alikaa kwa muda wa nusu saa kisha akaingia tena chumbani kwa mama yake, na kumkuta bado anasali, akatoka nje, lakini safari hii akiwa katika mshangao kidogo, kilicho mshangaza Seba, ni kitendo cha mama yake kusali muda huu wa mchana, tena akitumia muda mrefu sana, akiwa anatafakari, mala akasikia sauti ya mama yake toka chumbani, “Sebaaa” hapo Seba akajuwa kuwa tayari mama yake alisha maliza kusali, akaelekea chumbani kwa mama yake, na kumkuta akwiwa amekaa kitandani, kwanamna ya kushtua kidogo, yani kwakifupi mama seba alionekana kuwa mnyonge kidogo.


Seba ambae anamfahamu mama yake vizuri kabisa, akuwa na haja ya kuuliza, maana alijuwa fika kuwa lazima angemweleza tu, “mama mimi kesho naondoka, nita ondika mapema ili saa kumi nambili kasolo inikute nimesha pita songea mjini, alisema Sebastian, na hapo mama alitulia kidogo, kama vile anatafakari jambo, akitumia sekunde kama therasini hivi, kabla aja mtazama usoni mwanae, “Seba mchumba wako nimemwona, ni mzuri, lakini je una uhakika ni mzuri katika maisha yako?” aliuliza mama Seba kwa sauti ya chini kweli.


Swali lilimshtua sana Sebastian, maana mala zote mama yake, anapokuwa na mashaka, najambo flani, usipingane nae, na ndie mtu alietokea kumwamini kuliko mtu mwingine yoyote, “kwanini mama, mbona anatabia njema sana, anajituma kazi anapika vizuri anaadabu nzuri” alisema sebastian kwasauti ya kumtoa mama yake wasi wasi.


Mama Seba akatulia kidogo, kama kunakitu anakijadiri kichwani mwake, “mh! namba isiwe na ubaya wowote” Seba alimsikia mama yake akisema kwa sauti ya chini, “kwani kuna nini mama?” aliuliza Seba kwa mshatuko, “hapana, lakini sidhani, kama inaweza kuwa aina maana” alisema mama Sebastian akionyesha kuwa mwenye wasi wasi mkubwa, “mama kwani kuna niniuekiona Adellah?” aliuliza Seba, huku na yeye akianza kushikwa na wasi wasi, akiombea kusiwe na baya lolote ambalo mama yake ameligundua kwa Adelllah, maana ingempa wakati mgumu kutoa maamuzi, ukweli alisha mpenda sana mwanamke huyu, ambae sasa anaenda kuwa mama wa watoto wake.


Mama Seba, ambae nikama alikuwa anawaza pakuanzia, akamtazama kijana wake wa pekee, huku anajitabasamulisha kwa lazima, “ukweli mkeo ni mzuri na nimemwona anafaa kuwa mkeo, lakii kunandoto nimeota, inachanganya sana” alisema mama Seba, kwa sauti yenye kulazimisha utulivu, “ndoto gani hiyo mama?” aliuliza Seba kwa shahuku ya kutaka kujuwa, “nimeona kwamba, imetokea nimekaa muda mrefu sijakuona, lakini nikamwona Adellah, lakini wakati huo inaonyesha kuwa, siyo mkeo, na wala akuwai kuwa mkeo, akuwa nachochote cha kwako, siyo nyumba wala mtoto wako, nikajiuliza ilikuwaje nilimchukilia kama mkwe, wakati siyo kweli, nikashtuka toka usingizini, yai toka saa tisa sijalala, nasali tu, naomba hii ndoto isiwe kwa ubaya” alisema mama Seba, na kumfanya Seba mwenyewe atabasamu, “mama bwana, ondoa wasi wasi, hiyo ni ndoto tu, nina kuhakikishia kuwa sitokaa mwezi bila kukutumia barua” na sito umaliza mwaka bila kuja kukusalimia” alisema Sebastian, kwasauti iliyojaa upendo mkubwa kwa mama yake.


Naam japo mama Seba alijitaidi kujiweka kawaida, lakini alikosa amani moyoni mwake, ata siku yapili anawaaga mida ya saa tisa za usiku, alimwita Seba pembeni, na kumweleza kuwa, ni kweli amekuwa anaota ndoto za maluwe luwe, kwamaana leo tena ameota ndoto ya kwamba, Seba amemtembelea akiwa na mke wake na mtoto wao, lakini mke mwenyewe siyo Adellah, wote wakacheka kwa pamoja.


Naam Seba na mke wake waliondoka na gari lao suzuk escudo, mpaka mjini wakaenda kumuaga George, kule mji mwema, ambae alimwachia kiasi cha fedha, cha matumizi, na yakulia kodi ya nyumba, huku akimwaidi kumtumia bahadhi ya vitu vipya, kama vile redio na TV, na nguo za kisasa, mikanda mipya ya video za kiswahili na za kizungu, kisha wao wakaanza safari ya kuelekea dar, huku njia nzima Adellah, akisifia ukarimu wa mama mkwe, “natamani likizo ya mwakani ifike mapema, tuje tena” alisema Adellah, ambae toka kuota bskeri, mpaka kumiliki gari.


Ukweli sifa za mama mkwe zilifika mpaka dar es salaam kwa dada yake Sophia, Adellah, alimwelezea mama mkwe wake kama mama wapekee sana, mwenye upendo wa hali ya juu, “ndiyo maana ata mtoto wake anamoyo mzuri” alisema Sophia mala baada ya kusikia sifa za mama mkwe, akisingatia yeye, siyo tu kumwona mama mkwe yani ata wazo la kwenda dodoma lilikuwa bado alijawajia vichwani mwao. ******


Naaaam maisha yaliendelea, mambo yalikuwa mazuri, Sebastian akuwa mbinafsi, aliwapatia mtaji mkubwa wakina Sophia, iliwaweze kujikimu katika maisha yao, “maana kuna leo na kesho, nivyema kama mtakuwa na biashara ambayo itawasaidia kuingiza kipato” wazo ilo lilipokelewa vyema sana na Philipo ambae kama Seba angechelewa tu, yeye ndie ambae angetangulia kutoa ombi ilo.


Maisha yakawa mazuri upande wa Sophia na Philipo, ambao walifungua duka kubwa la vyakula, ndani ya muda mfupi, wakaanza kuona mafanikio kiasi cha kupanga nyumba nyingine, ambayo walichukuwa vyumba viwili na sebule, sasa watoto wao walirudi kwao, ambako pia kulikuwa na TV, na vitungine ambavyo waliviitaji, kama vile vyakula na chumba cha kulala. 

 

Naam mwaka 1998 wezi wa pili, ndipo alipo zaliwa mtoto wa kiume, aliepewa jina Samuel, yani jina la baba yake Sebastian, ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa wanafamilia awa, sasa Seba alikuwa amebadirika kwa kiasi kikubwa sana, ata ile tabia ya kulewa week alisha iacha, na sasa alikuwa anakunywa mala moja kwa mwezi, na wakati mwingine asingekunywa kabisa.


Sasa walikuwa wanaishi na dada wakazi, ambae aliletwa toka wakati Adellah akiwa mjamzito, aliwatafutia Sophia, na sasa alikuwa msaada mkubwa sana kwa Adellah, kipindi iki alichokuwa analea mtoto wao Samuel, taarifa ilishaenda kwa mama yae Seba, akijulishwa kuwa tayari mtoto alisha zaliwa, ni wakiume, na amepewa jina Samuel, wakaaahidi kuchukuwa likizo mapema, ili wampeleke mtoto kwa bibi yake, ingekuwa vyema kama ingetokea hivyo. *******


Naaam wakati maisha yakiwa yanazidi kuwa matamu, na yenye furaha, hatimae miezi minne ilikatika, Samuel akiwa anajifunza kukaa, Seba alikuwa amepigwa marufuku ya kupewa itumbua, kwamba mpaka mtoto amalize kunyonya, japo ilikuwa ngumu kidogo, kutokana na tabia aliyo zoweshwa na Adellah, ya kumpa kitumbua kila siku, lakini akuwa na budi kuvumilia.


Siku moja Sebastian anarudi nyumbani, na kumkuta mke wake akiwa na mgeni, ungesema ni mtu ambae alikuwa amekuja kuomba msaada flan, baada ya kupatwa na hali ngumu huko alikotoka, ni kutokana na hali aliyokuwa nayo, “hooo shemeji yako mwenyewe huyo hapo, nilikuambia uwa achelewi, mida yake ndio hii hii, saa kumi namoja au kumi nambili, akichelewa saa moja” alisema Adellah, kwa sauti yenye furaha, huku yule jamaa nae ambae alikuwa amvaa nguo zilizo choka, nywele zikiwa zimesimama wima kichwani, kwakukosa chanuo, akiachia tabasamu la matumaini.


Inamshangaza Sebastian, ambae anamtazama mgeni huyu, ambae ni ametambulishwa kuwa yeye ni shemeji yake, maana kama siyo matatizo, basi angekuwa anatoka kijijini leo leo, “karibu sana, mbona ukuniambia kama tunatarajia mgeni mama Samuel?” aliuliza Sebastian kwa sauti iliyojaa uchangamfu, “unazani ata mimi nilijuwa kama kaka Dani bado yupo hapa Dar, yani leo ndiona sikia hodiii, kufungua mlango ni yeye” alisema Adellah, aliekuwa amembeba mtoto, mkononi mwake, “lakini mtu kwao, siyo lazima upige hodi, karibu sana bwana Sehemeji jisikir hupo nyumbani” alikaribisha Sebastian, ambae alitambulishwa vyema juu ya mgeni huyo, kwamba ni mtoto wa baba yao mkubwa, na wakina Adellah, ambae alikuja hapa dar miaka mingi iliyopita, ila tu nikwamba siku za chache zilizopita, mambo yake yamekuwa yanenda vibaya, hivyo alikuwa na mpango wa kurudi kijijini, lakini aliposikia kwamba wakina Adellah, wapo hapa dar, akaamua aje ajishikize kwa muda, huku akitafuta kazi, “shemeji naomba msaada wako ata kwa siku chache tu, niweze kujitafuta” alisema kijana yule, alie itwa Daniel, huku ananyanyuka na kutaka kuiga goti.


Sebastian akanyayuka haraka na kumuwai, “hapana shemeji suifanya hivyo, hapa ni kwako” alisema Sebastian, ambae aliamini kabisa kuwa huyu bwana ni shemeji yake, yani kaka yake Adellah, “asante shemeji, ujuwe watu kama nyie niwachache sana, nakuaidi shemeji sito kuangusha nitajitaidi kwa uwezo wangu kutafuta kazi” alisema Danaiel kwa msisitizo, “shemeji hapa ni kwako, ata ukikaa mwaka, aina shida, inamaana ningekuwa mimi ndiyo nimekuja kwako ungenipa muda wa kukaa kwako?” aliuliza Seba akiwa na maana njema tu.*******


Naaam huo ndio Iikuwa ujio wa Danie nyumbani kwa Sebastian, ambae alimchukulia kama shemeji yake, ambae katika siku ya pili ya uwepo wake pale nyumbani, Seba anarudi anakuta dada wakazi amesha ondolewa pale nyumbani, alipoiluza akaambiwa kuwa dada wakazi ameondoka ghafla kwenda nyumbani kwao, baada ya kuletewa taarifa na ndugu zake, kuwa mama yake anaumwa.


Lakini aikuwa tabu kwa Adellah, ambae alionekana kumudu kazi zote za pale nyumbani, huku Sebastian akimpatia fedha kwaajili ya kumpatia kaka yake, akanunue nguo na kuonekana vizuri, Daniel alikula alivaa alilala, na siku moja moja alitolewa matembezi na shemeji yake, japo Sophia alikuwa anakuja mala kwa mala kuwasalimia ndugu zake awa, lakini aikuwai kutokea Daniel kwenda kwa Sophia, hiyo ilimshangaza Sebastian, lakini aliambiwa kuwa, Daniel na Adellah, damu zao zinaendana sana, toka wakiwa watoto wadogo, hivyo ni marafiki wakubwa sana.


Naaaam siku zilisonga, Adellah, akizidi kunawili na kuwa mzuri zaidi, akizidi kutamanisha na kuvutia zaidi, akimwacha Sebastian anakula kwa macho, maana bado alikuwa ananyoyesha, miezi minne baadae, wakati Samuel akiwa na miezi nane, ilitokea nafasi ya kazi kwenye kampuni ya FSC ambayo Sebastian alikuwa anafanyia kazi, na moja akati ya nafasi hizo, ni mfagizi kwenye ofisi ya mhasibu msaidizi upande wa masoko, ambae alikuwa ni Sebastian mwenyewe, ambae aliomba kwa mwajili wa pale kiwandani, ili kijana yule, ambae alionekana kufurahia maisha yake akiwa pale nyumbani kwa Sebastia, nae apate fedha yake ya kijikumu, japo licha ya kumpatia ajira hii, na kufanya kazi kwa miezi kadhaa, lakini bado aliendelea kukaa pale, nyumbani kwa Sebastian.*******


Naaam miezi miwili toka Daniel aanze kazi kwenye kiwanda cha FSC, mala dalili zakuporomoka kwa afya kwa mtoto Samuel, ilianza kuporomka, uku tatizo likiwa ni kuarisha, na homa za mala kwa mala, Sebastian alipo hoji kulikoni, akaambiwa kuwa ni swala la kawaida kwa mtoto anapoota meno, ilo lilithibitishwa na Sophia, japo zilipita siku kadhaa bila kuonekana kwa jino, wala dalili ya jino kwa mtoto mtoto wao


ITAENDELEA

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.