Madam Asha!

 MADAM ASHA!


WHATSAP...0743433005


SEHEMU YA 1

 ILIKUWA ASUBUHI na MAPEMA jiji la TANGA LIKIWA kimya kwani ilikuwa ndio kwanza saa 11 na dakika 20.....

"ALLAH AKIBALUUU......"ilisika adhana ikiwaita waumini wa dini ya kiislam kwenda kumcha mwenyezimungu MWINGI wa rehema....

"tony weee tony amkaaa kumekucha ujiandae uwende shule"ilisikika sauti ya mama tony akimuamsha mwanae tony kwani ilikuwa kila asubuhi anapo amka kujiandaa kwenda  kazini alipenda kumuamsha mwanae ili asichelewe shuleni....

"jamanii mama niache nilale kidogo"alisikika tony alilalama kwa usingizi na uchovu wa homework aliyofanya usiku kucha

"nikuache nini amka bhuana babako anakusuburi wee et"

"lakini mama mimi nisha kuwa mtu mzima sasa mniache basi ata niwe naenda shule kuliko kunipeleka na migari yenu"alizidi kulalama tony kwani wazazi wake walimdekeza sana KUAZIA utotoni mpaka sasa ana miaka 18 bado tu walimpitisha shule na wakati shule yenyewe haipo ata mbali na kwao 

"weee nyamaza ungekuwa ungekaa kwetu mtoto mwenyewe mmoja tu kama wa dawa fanya uamke uko"aliongea mama tony akilifuta shuka na kumfanya tony amke bila kupenda....basi tony aliamka na kujifanyia iusafi wa mwili wake nakuelekea sebureni 

"shikamoo baba"alisalimia tony alipo mkuta babake mzee mbogo akiwa anapata kifungua kichwa alicho andaliwa na mkewe 

"marahaba vipi naona sasa umekua adi unampandishia kibezi mama ako"aliongea mzee mbogo akimtazama tony

"hamna baba nikawa namwambia tu sasa nahitaji kujiangalia mwenyewe sio adi kuniamsha aniamshe yeye"

"kujiangalia mwenyewe! hama kwangu sasa? tony weee bado mtoto ndio kwanza upo kidato cha nne heli ingelikuwa upo chuo ningelikubali hilo suala lakini kwa sasa hapana"aliongea mzee mbogo na kumfanya tony akae kimya kwani hakutaka kujibizana na babaake maana alimjua ni mtu anayependa kuweka vikwazovikwazo sana juu yake....basi walimaliza kunuwa chai na safari ya kuelekea shule ikaaza 

 TUKIJA UKU SHULE YA SEKONDARI KOROGWE kulikuwa na mgogoro mkubwa kati ya mkuu wa shule na msaidizi wake 

"nisikilize mkuu sio kila kitu tutegemee ridhaa kutoka kwenye uongozi wa wilaya"aliongea mwalimu mkuu msaidizi akimsisitiza mkuu wake KUHUSU shauri la kuazisha mashindwano ya michezo ya ndani pale shuleni 

"sawa nimekuelewa ila andika barua ya maombi tuyafikishe kwanza  wilayani kisha tusubiri majibu"alisisitiza mkuu wa shule na kumaliza utata wao....basi ilikuwa saa mbili na dakika zake wanafunzi wote wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya kusikia machache ya walimu wao 

"hamjambo wanafunzi?"ilisikika sauti ya mkuu wa shule alipo panda  juu ya kizimba cha shule na kuaza kuwahutubia wanafunzi

"nisikilizeni kwa umakini..leo tuna ugeni kutoka chuo kikuu cha dodoma wametuletea walimu ambao watatatua changamoto zenu kwa somo la hisabati na uraia karibuni mjitambulishe"basi mwalimu mkuu aliwakaribisha walimu wale walio pata ajila zao baada ya kupitia frid katika hao walimu kulikuwa na wakike wawili na wakiume wawili 

"kwa majina naitwa madam asha natokea chuo cha dodoma nafundisha somo la uraia naombeni ushirikiano wenu"ilikuwa sauti laini na nyororo iliyofanya adi wanafunzi wa kiume wagune kwani madam asha aliumbika haswa japo kuwa aliva kwa kujistili lakini bado umbo lake lilimchora haswa pia madam asha alijaliwa urembo wa kipekee rangi ya chocolate na mdomo wa kunyonya koni....basi walimu wajitambulisha wote na kuwaruhusu wanafunzi kuingia madarasani mwao

"oyaa tony umeonaje yule madam bonge la toto mwanangu"ilisikika sauti ya john rafiki ake tony 

"hamna kitu pale kwanza tuachane na ayo kazi ya sir issa ulimaliza jana"aliongea tony 

"dah umenikimbusha mwanangu jana nilibanwa kinoma lete basi nikopi chapu maana naona kihelehele ataaza kukusanya mda sio mrefu na ninavo mjua ticha issa hachelewi kuja kutuchalaza apa"aliongea john akitoa daftar lake ghafla aliingia mkuu wa shule mule darasani akiwa ameongozana na madam asha

    

 KUSEMA ukweli madam asha aliumbika haswa umbo lake namba nane lilifanya liwatoe udenda wanafunzi wa shuleni pale...

"hamjambo?"alisalimia mkuu wa shule

"hatujambo shikamoni walimu"

"marahaba nisikilizeni kwa umakini kuazia leo somo langu la uraia namwachia madam asha kwahyo naombeni mumpe ushirikiano kwa kila kitu tumelewana"

"ndio mwalimu"

"ok mwalimu kazi njema"

"asante mwalimu"basi mwalimu mkuu alitoka na kumwacha madam asha mule darasani kwani ilikuwa ndio kipindi chake asubuhi ilee

"mambo zenu?"

"poaaaaa"walitikia wanafunzi kwa mbwembwe za kumkaribisha mwalimu mgeni 

"tusikilaze wadogo zangu mimi ni sawa na dada yenu kwahyo msinionee aya naombeni mnipe ushirikiano na kama kuna shida mnambie sawaa"aliongea madam asha akiwatazama wanafunzi wake mara macho yake yarikumbana uso kwa uso na macho ya tonny aliye regeza macho kama anarembua kumbe ndio alivo zaliwa....tonny alikuwa ni kijana mtanashart haswa alijipenda haswa kila mda alikuwa smart pia tonny alijaliwa sura ya mama iliyo sababisha warembo wa shule ile wazipige kisa yeye 

"ok naomba kila mmoja ajitambulishe ili nipate kuwajua"basi wanafunzi walilijitambulisha kwa majina yao yote ilipofikia zamu ya tonny alishia kumwangalia madam asha pasipo kuongea chochote na kufanya wanafunzi wezake wamchekee

"weee unashida gan? mbona ujitambulishi?"aliongea madam asha akilisogelea dawati la tonny na mwezake john

"et uyu bubu?"aliongea madam asha akimuliza john 

"hamna madam,oyaa tonny vipi babu?"aliongea john akimpa ishara tonny ajitambulishe kwa madam asha lakini tonny aliuchuna kimyaa... 


 HAIKUJULIKANA TONNY alifanya kusudi au alikuwa na dhamira gani kumfanyia vile madam asha kwani aliuchuna kama sio yeye..

"naomba utoke njee?"aliongea madam asha kwa hasira kwani aliona siku yake ya kwanza shuleni apo inakwenda kuwa mbaya...basi tonny alitii amri ya madam asha na kutoka mule darasani kinyonge,baada ya kupita nusu saa madam asha alitoka mule  darasani na kumkuta tonny akiwa amekaa kwenye kiti alicho kikuta hapo nje huku akiuchezesha mguu wake kama boss anasimamia vibarua wake

"hivi wee unajikuta nan? hapa shuleni yaan mimi nakuongelesha darasani unanikalia kimya"aliongea madam asha akimtadhimini tonny ambaye mda wote huo anamtazama tu machoni 

"mnh!!! madam mrembo uyu"alijisemea tonny kimoyo moyo 

"ashiiiiiii onhh my god mbona kama siku yangu inakwenda kuwa mbaya leo kwahyo me nakuongelesha kuazia darasani bado unanikalia kimya tu?"alilalama madam asha akishika kichwa chake kwa kuchoshwa na tonny 

"samahani madam"ilisikika sauti ya bezi kutoka kwa tonny iliyo ambatana na upole hapo ndipo macho ya madam asha yakatazaman tena na macho ya tonny na kupelekea  kutokea ukimya wa takilibani sekunde20....hisia za madam asha ziliaza kutekwa na macho ya tonny yalio maregevu kama mhuni aliyetoka kusokota bangi macho yake ya kurembua kama mwanamke yalimfanya madam asha kuaza kuzipiga hatua zake taratibu na kumsogelea tonny alipo 

"madam amefanyaje uyo tena mbona yupo apo"ghafla madam alishtuka pindi  mwalimu issa alipo tokea  na kuwatoa tony na madam katika  dimbwi zito la hisia kwani isingelikuwa yeye kingetokea kitu ambacho kilisababisha adam na hawa kufukuzwa na mwenyezimungu katika bostani ya edeni

"hamna kuna swali akawa ananiuliza hapa hivyo nikawa nampa maelekezo jinsi ya kufanya"aliongea madam na kufanya tonny aondoke mahala pale bila ata ya kumsalimia mwalimu issa 

"yaan hawa watoto inabidi uwe nao makini madam umeona apa limeondoka ata alijanisalimia"aliongea mwalimu issa akimtazama madam asha kwa jicho la matamanio

"usijalii me kama mwalimu naelewa na nina ujuzi wa ayo mambo kwani kipindi tunakuja uku tulisha fundishwa jinsi ya kuishi nao na hata hvo si wenyewe kabla ya kuwa walimu tulisha toka huko"aliongea madam akimtazama mwalimu issa  mara alishtuka alipo yapeleka macho yake  chini ya suruali ya mwalimu issa na kukuta jogoo wa mwalimu issa ametuna na kujichora 

"mnh!!!!! mwalimu icho nini"....

Itaendelea 


SOMA MUENDELEZO KWA SH 1000 TU

NJOO WHATSAPP +255743433005

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.