CHANZO NI SHEMEJI
S E H E M U Y A K W A N ZA - 01
_______________________________________
Kaka yangu Moris anafanya kazi kiwanda cha sigara dar es salam.
Yeye ameajiriwa kama financial manager ndani ya kiwanda hicho.
Mara baada ya kumaliza kidato cha nne nilisafiri kwenda darsalam kumsalimu kaka, pamoja na shemeji ambaye sikuwahi kumuona hapo kabla.
Ilinilazimu kukaa nyumbani kwa kaka kwa kipindi chote ambacho nilikuwa nikisubiri matokeo yangu ya kidato cha nne.
Kaka yangu alikuwa na miaka 45 na Ndiye aliyekuwa mkubwa katika familia yetu.
Baada ya kuachana na mkewe wa kwanza alioa mwanamke mwingine Jina lake ni sanifa mwenye umri wa miaka 21.
Ingawaje nilikuwa nimemzidi shemeji sanifa kwa miaka minne mbele, lakini kaka moris aliniamini sana na hata wakati mwingine alikuwa anaenda kazini usiku na kurudi ni asubuhi.
Kiufupi kaka alikuwa sio mkaaji sana wa nyumbani isipokuwa siku ya jumamosi alikuwa anatuchukua mimi pamoja na shemeji na mfanyakazi wao mpaka mbezi bich kupoteza mawazo.
NAAM!!! NINAPOANDIKA SIMULIZI HII YA "USINILAUMU MIMI KAKA CHANZO NI SHEMEJI !!! NINATAKA KUELEZA JINSI SHEMEJI SANIFA ALIVOYAWEKA MAISHA YANGU HATARINI KWA SABABU YA KITU MAPENZI.
Ilikuwa ni siku ambayo kaka moris alitoka asubuhi na ilipofika usiku alimpigia mkewe sanifa simu kwamba hatorudi kwa siku hiyo hivyo tusiwe na wasiwasi kwa kumsubiri sana.
Nilichukua simu yangu na kuingia chumbani kwangu kujiliwaza na mambo mbalimbali mtandaoni ikiwa ni simulizi, pamoja na kuchat facebook na whasap.
Nilipenda sana kusoma sana simulizi za watunzi mbalimbali ambao simulizi zao zilikuwa zikinichombeza balaa.
Simulizi kama za mtunzi Ab Teacher,
Simulizi za rumambo na pia riwaya za king wa milazo.
Ilikuwa sio desturi yangu kuchat sms za kawaida kwasababu nilikuwa mgeni wa simu na pia nilikuwa mlimbukeni haswaa! wa swala nzima la mapenzi.
Hivyo sikuwa na namba ya msichana yeyote kwenye simu yangu isipokua namba za marafiki zangu wa Kiume niliosoma nao na namba za ndugu zangu.
Lakini siku hiyo ilikuwa ya ajabu sana kwangu, wakati nikiwa nachati Facebook juu ya kiyoo changu cha simu palionekana sms ya kawaida iliyokuja na namba ngeni.
Nilitoka harakaharaka mtandaoni ili niusome ujumbe ule kisha nitakaporudi niendelee kusoma simulizi ya NIKUNE PANAPOWASHA SHEMEJI iliyoandikwa na mwandishi simba mpole.
Baada ya kuifungua sms ile ilikuwa na ujumbe wa salamu, sikuweza kujua ni nani hivyo tulianza kuchati.
"Mambo vp"
"Pw nani"
"Usiwe na haraka nitakuambia"
"Oky niambie"
"Fresh naomba nije tulale"
Nilisita kidogo kujibu kisha nikaanza kuwaza "huyu atakuwa nani?"
Hisia zangu zilinituma moja kwa moja kwa dabra ambae alikuwa ni mfanyakazi wa kaka.
Nilihisi huenda nilipokuwa nimeacha simu yangu chaji pale sebuleni atakuwa ndiye aliyechukua namba zangu.
Nilimuuliza tena
"Niambie bhana wewe ni nani kama hutaki nipotezee"
Alinijibu "niruhusu kwanza nije chumbani kwako tutafahamiana hukohuko".
Nilihisi kama ni utani nikamjibu kwa harakaharaka "njoo" ili asinikatishe utamu wa simulizi niliyokuwa naisoma.
"Njoo"
"OKy nipe dakika tano"
Alinijibu hivyo kisha kimia kidogo kikachukua nafasi.
Baada ya muda mchache nilisikia mtu akisukuma mlango wangu ingawaje mlango ulikuwa unaburuza lakini alijitahidi kusukuma polepole.
Wakati huo nilikuwa nimezima taa yangu ya chumbani.
Nilisisimka mwili mzima huku hisia za mapenzi zikinipanda polepole kwa kuhisi labda atakuwa ni dabra.
Aliufunga mlango kwa utaratibu, lakini kabla hajageuka kuja kitandani nilimmulika kwa kutumia mwangaza wa simu yangu.
LAAH! HAULAAAA! alikuwa si mwingine ni shemeji sanifa.
Alifumba macho yake kwa aibu kisha akaketi kitandani.
"Shemeji kulikoni chumbani kwangu saizi?
"Si umeniruhusu ama!"
"Mimi sikujua kwamba ni wewe"
"Ulijua ni nani"
Swali hilo likiwa gumu kwangu nikabaki nimekaa kimia nisijue nini cha kumjibu.
Shemeji alikuwa amefunga kitaulo chake chepesi kilichopita juu ya matiti yake, wakati huo nilikuwa nimevalia kiboxer changu kama ilivo desturi yangu wakati wa kulala.
" Shemeji mimi sitaki unafikiri kaka akijua itakuwaje?"
Niliongea kwa sauti ya kunong'ona huku nikimshika mkono kumtoa nje shemeji sanifa.
"Sikia nikwambie wewe acha ulimbukeni wako wa huko kijijini wenzako wanatamani kucheza na mimi kitandani, wewe umebahatika lakini unazembea"
"Sio hivyo shemeji, wewe ni mke wa kaka yangu"
"Hata kama , nionee huruma Kenny kaka yako ananitesa hanifikishi kabisa nitakapo".
Ongea nae taratibu abalance mda wake"
"Tatizo sio mda huoni kwamba kaka yako kashazeheka!"
"Hapana sipo Tayari kugombana na kaka yangu kisa wewe"
Baada ya kumjibu kwamba sipo tayari ,shemeji sanifa aliangusha kitaulo chake chini kisha akasogea hadi masikioni mwangu na kuninong'oneza kwa utaratibu kabisa "ukikataa lazima nitamwambia kaka yako ulikuwa unataka kunibaka"
"Shemeji usifanye hivyo mbona una visa jamani!"
Nilimkatalia kwa sauti ya kilegevu wakati huo alikuwa amekutanisha chuchu zake zilizosimama kama misumari kifuani kwangu.
Nilipatwa na msisimko wa ajabu, uliosababisha Muhenga wangu kusimama dede.
LAAA! HAULAAA SHEMEJIIIIII MAMBO GANI UNATAKA KUFANYA SASA!!!. Aliniangusha kitandani huku akileta midomo yake milaini mdomoni mwangu.
Hakika nilishindwa kabisa kujizuia kutokana na kila nilichokigusa kwenye mwili wake kilikuwa kinanishawishi kubedika na shemeji Sanifa.
"Naomba mate basi shemej"
"Hapana bhana shemeji nitatapika."
"Acha ushamba bhana mtoto wa Kiume au na wewe jogoo hawiki kama wa kaka yako?"
Aliuza hivyo kwa sauti ya kunong'ona, wakati huo mkono wake ukishuka chini taratibu na kumtoa mjomba wangu ndani ya boxer.
"MAMA WEEE!" baada ya shemeji sanifa kumshika mjomba wangu kichwa chache, Mjomba alikasirika na kusimama wima kama mgambo wa zamu tayari kwa mashambulizi.
SHIT LEO SIKUACHI UMEJILETA MWENYEWE KWA UCHOKOZI WAKO,ALAAA! PUMBAVU NA NUSU WEWE WACHA NIKUFANYE HAKUNA!!!
Nilikivua kichupi chake kilichokuwa tayari kishalowaa kwa usumbufu wa mda mrefu wakati alipokuwa ananibembeleza.
Sikutaka kabisa kufanya mautundu ya mda mrefu, japo mwili wake ulikuwa unaruhusu kabisa kucheza nao.
Nilimpanda juu, kisha akatanua miguu yake Staili ya popo kanyea mbingu.
Niliukamata muhogo wangu uliokua tayari umeridhia kucheza namba yoyote uwanjani kwa siku hiyo.
Nikaanza kuchomeka taratibu kweli ndani ya kitumbua chake kilichovimba vizuri kabisa.
"Oooh psssssissss, mambo si ndio hayo sasa shemeji"
Alianza kuguna kwa miguno ya kipwanipwani huku akinikumbatia na kuzidi kujitanua miguu yake kusudi kobore langu lizame vizuri kunako asali.
Nilipiga faster faster kwa kuchangamkia fursa hiyo ili nisije kukamatwa.
"Aaahhhhhhh !!!! shemeji alitoa sauti kwa nguvu tena kwa kujisahau kwamba yupo chumbani kwangu, wakati mjomba wangu alipokuwa anammwagilia asali shimoni kwake.
Sauti ile ilimshtua dabra chumbani kwake, harakahara shemeji alichukua taulo lake na kurudi chumbani kwake kwa kunyata tarati kweli! ,kabla dabra hajatoka kwenye chumba chake.
Kimia kikatawala na dabra akarudi tena usingizini.
shemeji sanifa akaingia chumbani kwake huku mapigo yangu ya moyo yakinienda mbio kwa kunusurika kufumaniwa na dabra .
**************
Kesho yake asubuhi, nikiwa bado nipo kitandani nimelala, shemeji sanifa alinitumia ujumbe mfupi.
"Za asubuh kenny"
"Salaam shem!"
"Nimemiss mwenzio"
Umemiss nini shem"
"Unajifanya hujui au"
"Shemeji sasa unapoelekea unataka uniingize matatizoni"
"Usiogope Kenny kwa sasa wewe ndio gaidi wa moyo wangu, wewe pekee ndie unaecontrol hisia zangu.
Nipo tayari kufanya lolote kwa ajili yako"
"Mh kumbuka dunia haina siri shem, sipati picha siku kaka akijua!"
"Sio rahisi na haiwezi kutokea!"
Wakati tunaendelea kuchat ilisikika ngurumo ya gari nje ya geti.
Nilihisi atakuwa ni kaka Moris amerudi kutoka kazini.
Nikajinyanyua kitandani kwangu taratibu kwenda kumfungulia kaka geti.
Gafla shemeji alimuita dabra chumbani kwake.
"Dabraaa! Hembu amka huko ukafungue geti kila siku ni Kenny tuu wakufungua wakati wewe ndio mfanyakazi".
Hapana shemeji acha tuu nikafungue dabra malizia usingizi wako".
Nilimkata kauli shemeji wakati naelekea nje kufungua geti.
"Shikamoo kaka"
"Marhaba za asubuhi"
"Salama"
Nilimsalimu kaka baada ya kufungua geti kisha akaelekea zake ndani.
Kama ilivyo kawaida yake huwa yeye sio makaji sana wa nyumbani, siku hiyo alitoka mapema kabisa yeye na mkewe sanifa na kutuacha mimi na dabra nyumbani.
Mara tuu baada ya kaka na shemeji kuondoka, dabra alianzisha zogo na si kawaida yake.
"Heheeeeee! nilichokiona jana usiku?ama kweli dunia imevaa skeiti"
Nilihisi kama moyo wang umepigwa shoti kwa mada ambayo dabra aliianzisha.
"Uliona nini dabra"
Niliuliza kwa mashaka huku Nikimtizama dabra usoni mwake kwa umakini.
"Yani wewe ndie wa kummegea kaka yako tunda lake"
"Sikuelewi hembu funguka bhana waziwazi nijue"
"Oky jana usiku nilisikia minong'ono ya watu chumbani kwako, nikatega sikio kwa umakini lakini sikubahatisha kusikia chochote, nikahisi labda umepata kidemu cha hapa mtaani ukakiingiza ndani usiku kumbee laaa!
Nilijitahidi sana kutega sikio gafla nikaanza kusikia sauti za miguno isiyo ya kawaida.
Sauti hizo zikaongezeka taratibutaribu, mara nikasikia kelele kwa nguvu ndipo nikakurupuka kitandani kwangu na kutoka nje kuangalia kulikoni huyo wifi anaekimbia na chupi usiku huu??
LAAAH!!! HAULAAAA!! Nilipenyeza macho yangu kupitia kona ya mlango gafla nikamuona mke wa kaka yako akitoka chumbani kwako na kitaulo chake tena kwa kunyata mpaka chumbani kwake.
Hahahaaa mimi silalagi eti kenny ujue! nilimchabo tuu jinsi alivokuwa ananyata taratibu yani daah"
Nilibaki nimeduwaa nikimtazama dabra jinsi anavyosimulia.
"Dabra nifichie siri basi usije ukasema popote"
"Kukufichia siri sio tabu lakini hata mimi nakupenda!!!!!"
"Unataka nini"
"Ulichompa mke wa kaka yako na mimi nipatie"
Dabra alitupa kaka yake pembeni, LAA! HAULAA...macho hayana pazia nilifanikiwa kuona mapaja mazuri ya dabra na kitumbua kilichojaa kiasi chake ndani ya chupi yake nyeupe peee!!! kama seluji.
"Mungu wangu, kwanini majaribu haya yote yanikuteee?"
Nilijiuliza maswali mengi lakini sikuwa na jinsi tena, tayari msumari wangu ulisimama wima kabisa huku nikiyakodolea macho makalio ya dabra .
Nilihisi mchecheto mwilini mwangu wa kutaka kuonja ladha ya kitumbua cha dabra kilichotuna ndani ya chupi yake nyeupe.
Nilibaki nimeduwaa tuu kwa kutazama chachandu aliyokuwa amevaa kiunoni dabra, ni chachandu la ukweli tena kama si la kizaramo basi ni la kichaga.
Dabra kuona nimeduwaa alisogea karibu yangu na kuniuuliza.
"Mbona umeduwaa au hutaki sema tuu mimi naweza kuendelea na shughuli zangu."
Wakati nataka kumshika dabra, gafla tulishtushwa na ngurumo ya gari la kaka nje ya geti.
Kaka Moris alipiga honi kama mara tatu bila mafanikio.
Dabra aliokota kanga yake na kuifungua harakaharaka kiunoni kisha akatoka nje kufungua geti.
"Mnafanyaje huko ndani ninapiga honi zaidi ya mara tatu sioni mtu"
Aliuliza kaka moris kwa hasira wakati dabra alipokuwa anafungua geti.
"Sikusikia kaka samahani"
Dabra alijibu kiunyonye lakini kaka moris alizidi kufoka kwa hasira.
"Ina maana sikuizi mmekua viziwi au ndio zarau"
"Kaka jamani samahanii"
Kaka aliingia ndani hadi sebuleni, Nilipokuwa nimeketi.
Uso wake ulikuwa umekunjamana kwa gadhabu, kana kwamba kuna mtu kamuuzi Kati yangu na dabra.
"Shikamo kaka"
Nilimsalimu kaka moris mara tuu baada ya kaka kuketi chini.
"Marahaba , ujiandae kesho asubuhi utaanza kwenda kazini nishakupatia nafasi pale kiwandani kwetu."
"Sawa kaka ahsante"
Kaka Moris aliingia chumbani kwake kupumzika na kuniacha na shemeji sanifa pale barazani.
"Mambo vp Kenny " sms ya shemeji sanifa iliingia kwenye simu yangu wakati tukiwa tumeketi wote pale sebuleni.
"Poa shemeji"
"Mbona hata huniambii ahsante"
"Ahsante ya nini tena shem"
"Mimi ndio nimemtongoza kaka yako akutafutie kazi kwa haraka ili usiteseke mume wangu au unasemaje".
"Hamna shida ni sawa tuu"
"Basi tumepanga kila siku asubuhi utanipeleka na gari kazini kwangu tabata ndipo uende kazini kwako , hiyo nayo imekaaje"
"Hamna shida ni nyie tuu mtakachoniambia mimi nafanya."
"Lakini kesho nilikuwa nataka tuwahi mapema kabisa twende hotel moja pale kariakoo ukanikune vizur kwanza ndipo uende kazini"
"Khaaa! shemeji yani kesho ndio ninanza kazi alafu tena nicheze na kazi."
"Hapana sio hivyo mimi nitamwambia kaka yako gari imeharibika ipo garage, hana shida mbona ataelewa tuu".
"Mh! shemeji angalia hili jambo vizuri"
"Usijali hapa upo na mtu mzima anaejielewa kwahiyo ondoa wasi wasi"
"Lakini kwanini shemeji tusifanye siku ingine mpaka iwe kesho?"
"Kesho nilitaka tukifika kariakoo nikununulie nguo nzuri za kazini, sasa utaendaje kazini na hiyo midosho yako uliyotoka nayo kijijini kwenu?"
"Mh! itakuwa fresh maana kiukweli nimeishiwa na nguo kabisa"
"Sasa je, yani unapata bahati ya kununuliwa mpaka nguo unataka kuleta maringo"
"Sawa ila ukiwa chumbani na kaka usije ukanitumia sms tafadhali"
"Usijal kuhusu hilo"
*************
Hatimae usiku ukachukua nafasi kila mmoja akaelekea chumbani kwake kujipumzisha.
Kabla usingizi haujanishika Nilipokea ujumbe kwa namba ngeni.
"Mambo vipi"
"Pow nani"
"Angel "
"Umezipata wapi namba zangu"
"Kwenye simu yangu"
"Acha kunienjoy bhana sema wewe ni nani na umepata wapi namba zangu"
"Nilikuwa nabuni tuu namba kwasababu sina wa kuchati nae nipo mpweke, naomba kampani yako tafadhali"
"Mimi siwezi kuchati na mtu ambae simjui"
"Sasa tutajuanaje bila kuchati, tuchat ili tuweze kufahamiana"
"Oky niambie"
"Unafanyaje saizi"
"Nipo kitandani kwangu".
"Piga picha jinsi ulivyo hapo bed alafu unitumie kwa whatsap,
"Oyaa! hembu sema kweli bhana wewe nani"
"Mwaya mimi ni dabra"
"Unanitega eh"
"Hamna nasikia kesho unaanza kwenda kazini sasa utanipa lini na mimi ile ahadi yangu."
"Usijal siku tukienda bich ila, endelea kunitunzia siri plzzzzz"
"Leo haiwezekani"
"Hapana huoni kwamba kaka na shemeji wapo"
"Ok sawa"
**************
Kesho yake asubuh na mapema, shemeji sanifa aliniamsha nijiandae kumpeleka kazini kama tulivyopanga!.
Niliamka haraharaka na kuswaki vizuri kisha nikaingia bafuni kujimwagia maji wakati huo shemeji sanifa nae alikuwa anavaa chumbani kwake.
Baada ya maandalizi kukamilika, nilichukua funguo ya gari kwa kaka Morris nikawasha gari tayari kwa mwendo.
SAFARI SIO YA TABATA TENA BALI KARIAKOO KAMA SHEMU SANIFA ALIVYOTAKA.
Wakati tupo kariakoo duka la Hussein pamba Kali, mara alitokea mtu nisiyemfaham akaanza kuongea na shemeji.
"Vipi shemeji"
"Pw anko Kevin"
"Morris anaendeleaje"
"Yupo tuu amejaa tele"
"Haya kulikoni kariakoo saizi mda wa kazi"
"Namtafutia nguo shemeji yangu mdogo wake na moris"
"Ahaaa! Kumbe moris ana mdogo wake mkubwa hivi, mambo vipi kaka"
"Safi tuu "
"Haya ngoja niwaache!"
Haya shemeji"
*************
NYUMA YA PAZIA ( BILA KUJUA)
Mtu yule alianza kunitilia mashaka na kuanza kutufuatilia mwanzo hadi mwisho wa safari yetu bila sisi kufahamu.
Tulielekea moja kwa moja kwenye hoteli kubwa sana iliyopo mkabala na duka la Hussein pamba Kali.
Mtu yule nisiyemfahamu, kumbe
ni rafiki wa karibu sana na kaka Morris.
Baada ya kutuona tumetokomea ndani ya hotel,alipiga simu kwa kaka moris "Mambo vipi moriss"
"Powa wapi maeneo"
"Nipo kariakoo"
"Oky na mimi mwenyewe ndio ninaamka, najiandaa kwenda kazini"
"Samahani lakini kwa kuingilia mambo ya ndoa yako"
"OKY bila samahani"
"Nimemuona mkeo kariakoo na kijana mrefu kama wewe akadai ni mdogo wako"
"Umemuona kariakooooo!!!!!!!!"
"Ndio"
"Sio tabata"
"Hapana, inamaana mimi sijui kariakoo na tabata"
"Ngoja kwanza!"
Kaka alikata simu na kisha kunipigia
"Vip Kenny upo wapi"
Shemeji alininong'oneza
"Mwambie tupo garage"
"Nipo garage kaka gari linazingua"
"Oky shemeji yako umemuacha wapi"
Shemeji alininong'oneza
"Mwambie kazini kwake"
"YUPO kazini kwake"
"Haya"
Kaka alikata simu na kunipigia yule rafiki yake Kevin.
"Umemuona mke wangu kweli au umemfananisha"
"Nimemuona tena tukasalimiana kabisa kisha wakaelekea hotelini na huyo kijana mpaka sasa ninapoongea wapo ndani."
"Whaaaaaat! Huyo atakuwa sio mdogo wangu ngoja nije nisubiri hapo hapo.
ITAENDELEA...
0 Comments
Your Thoughts