Mpangaji Episode 01

 CHOMBEZO: MPANGAJI

EPISODE: 01


Nakumbuka siku hiyo nilishikwa na hamu ya kufanya ule upuuzi kiasi kwamba nilishindwa hata kwenda darasani. Kitendo kile kilifanya yule msimamizi wa wanafunzi pale shuleni kuniona kama naumwa,hivyo aliniongoza hadi hospitali moja ya pale Tabora na nilipofika, ndipo nikajidai naumwa zaidi. Nilijiregeza kiasi kwamba nilishindwa hata kutembea,hivyo nikaletewa kile kiti cha wagonjwa wasiyojiweza ili kinisaidie kuingia hospitali. Baada ya kuniingiza mle, yule mwalimu akabaki nje kwa ajili ya kusubiri majibu yatakayotoka kwa yule aliyenipokea. 

Ile kufunga ule mlango niliyoingilia, nilinyanyuka haraka na kuanza kuongea na yule muuguzi aliyenipokea huku nikimshawishi kwa uongo mwingi ili asinidunge sindano zao,hasa diripu. “Kaka, unataka hela hutaki?”. Nilinyanyuka na kumtupia swali yule jamaa aliyekuwa anahangaika kunisukuma na kile kiti cha wagonjwa. Kitendo cha mimi kunyanyuka vile ghafla,kilimfanya kidogo ashtuke na kuhisi kuwa nimechanganyikiwa. “Wewe si unaumwa wewe? Au ndiyo Malaria inakupanda kichwani?.Aliuliza yule kaka. “Tulia kaka, skonga kuna ukame sana. Hapa bila kuzuga naumwa basi kule skonga ningebaka wenzangu. We sema, unataka hela au hutaki”.Nilijitetea kidogo na kurudi kwenye mada yangu. “We unataka ufanye nini? We mwenyewe kwanza ni mwanafunzi,halafu unaniulizia mfanyakazi kama nataka hela. Inakuwaje hiyo?”.Jamaa alikuwa mbishi kuelewa,ila nikamsawazisha. “Sikiliza Bro, mimi hapa siumwi. Cha msingi, wewe nibandike bandike hayo madiripu halafu muite huyo ticha aje kuniona. Usimruhusu aende kwa daktari,kwani ukifanya hivyo utakosa hela”.Nilimwambia hayo huku nikimwangalia usoni nikisubiri jibu lake. “Ehee, nakusikiliza dogo. Au ndo umemaliza?”.Yule muuguzi akauliza tena. “Kwani Bro hujanielewa wapi? Mbona unakuwa na fuvu gumu?”.Nilimuuliza kwa jazba kidogo huku nasukuma kichwa chake kwa kidole cha shahada. “Dogo sikiliza, hapa tunasaidiana. Mimi nikikuwekea hayo madiripu,nitapataje hiyo hela?”. Jamaa aliniuliza swali hilo. “Kumbe tatizo ni hilo. Akija we zuga kuwa unanihurumia sana,halafu mwambie bei ya haya madiripu pamoja na hela ya msosi wangu nitakao kula nikiwa hapa. Usimruhusu aende kwa daktari mkuu, maliza hapa hapa. Mwambie wewe utapeleka taarifa zote ofisini”.Nilimaliza na yule muuguzi kwa tabasamu,akachukua maplasta na kuanza kubandika ile mirija mikononi mwangu bila ya zile sindano, wakati huo ilikuwa ni mida ya saa saba mchana. “Sasa dogo, aking’ang’ania kwenda kufanya malipo ofisini je?”.Yule jamaa muuguzi aliniuliza baada ya kumaliza kunitundikia zile diripu uchwara. “Lile ticha siyo janja, halijui lolote. Yaani pale skuli kazi yake kusimamia makazi tunayolala na siyo kufundisha. Halafu mimi nina kadi hii ya bima ya afya, hivyo wewe usiwe na wasi. Mimi matibabu yangu ni bure”. “Ha ha haa, hapo sawa nimekuelewa. Sasa ngoja niende kwa ticha lako”.Jamaa akawa anaondoka kwenda kumuita mwalimu yule niliyekuja naye. Baada kama ya nusu dakika,waliingia huku mimi nikiwa kama sijielewi pale kitandani. “Ticha, aisee dogo anaumwa sana”.Nilimsikia jamaa akianza kuongea na ticha wangu. “Kwa hiyo ni nini kinamsumbua?”.Akauliza ticha. “Nimecheki mapigo yake ya moyo ndiyo yanaenda kasi sana,hivyo yaonekana ni BP. Ila usiwe na shaka sana. Wewe niachie elfu hamsini za matibabu pamoja na tupesa kidogo kwa ajili ya chakula cha mgonjwa akihamka. Siwezi kuendelea na matibabu bila kupata msaada wa kifedha ili tununue dawa zake na vitu vingine muhimu kama hizo diripu ambazo anatakiwa atundikiwe tatu”.Jamaa muuguzi alijielezea nia yake,na bila kipingamizi,yule ticha aliingiza mikono yake kwenye mfuko wa suruali na kuibuka na waleti iliyonona kiasi chake. Wakati huo mimi nilikuwa namuangalia kwa jicho moja la kuiba, na nilishuhudia akitoa noti saba za elfu kumi na kumkabidhi yule jamaa. “Sasa dokta, fanya harakati huyu mtoto apone. Mimi nitakuja kesho ili nijue ni nini kinaendelea, sawa dokta?Akiamka mpe salaam zangu”.Ticha alimalizana na yule jamaa muuguzi na kuanza kuondoka huku akisindikizwa na yule muuguzi ambaye kwa kumuangalia alikuwa ana ukame sana kifedha,hivyo zile hela kwake ilikuwa kama bahari kutokea jangwani. “Dogo tumewin. Kweli ili ni bonge la boya. Sasa sikiliza, kanipa elfu sabini, wewe chukua hii thelathini halafu pitia huo mlango kafanye yako. Huu wa kuingilia mimi naufunga, we ukirudi pitia mlango huo huo halafu njoo ile ofisi yangu kunipa taarifa,mwisho iwe saa kumi na mbili, sawa?”.Yule jamaa muuguzi alinipa maelekezo ya nini cha kufanya baada ya kuhakikisha yule ticha katokomea kabisa pale hospitali. Nilimjibu kwa kuitikia poa huku nazitoa zile diripu na kuanza kutoka nje.

Niligundua kuwa yule jamaa alikuwa ni muuguzi wa zamu ambaye ana cheo kidogo,na katika hospitali ile,wanafunzi walikuwa wana sehemu zao maalum kwa ajili ya kulazwa na siku hiyo kulikuwa hakuna mwanfunzi aliyeletwa zaidi yangu. Niliingia viwanjani na kuanza kutafuta mwanamke wa kutuliza maumivu yangu huku nikiwa na hamasa kubwa ya ujana wangu ambao sikufahamu kuwa ni maji ya moto.

Kiukweli soko lilikuwa limedoda siku ile, hadi saa kumi na moja na nusu, nilikuwa sijapata goma la kunisuuza maumivu yangu, hivyo niliamua kurudi zangu hospitali na breki ya kwanza ilikuwa ni kuingia kwenye ile wodi na kubandika yale madiripu na kisha kuanza kupiga kelele kana kwamba nilikuwa nimetoka usingizini. Haikuchukua hata dakika, yule jamaa alikuja huku katabasamu na kuniuliza. “Vipi dogo, umefanikiwa?”. “Aaah, huko majanga tu! wamehadimika kama bia ya bingwa”. “Kwa hiyo, vipi sasa?”. “Leo usiku nitatoroka, nitajifanya napunga upepo halafu naondoka. Nitarudi baadaye”. “Hapana dogo,hiyo ya usiku sikuruhusu. Ukipigwa je? We tulia, kesho tutapanga tena”. “Poa kaka, ila naumia mwenzako”. “Tulia dogo, vumilia hadi kesho. Sasa hivi naondoka, namuachia maagizo muuguzi mwingine. Toa hayo madiripu halafu jifanye umepata nafuu kidogo”.Jamaa aliongea hayo na kutoka nje ambapo aliniacha mimi nabandua yale maplasta na kisha kukaa kitako. Baada ya dakika tano,yule jamaa muuguzi aliingia na muuguzi mwingine ambaye nilipomtazama moyo wangu ukawa kama umekufa ganzi. Nikashindwa kuyatoa macho yangu usoni pake na kunifanya nizidi kushikwa namshawasha mwingine wa hali ya juu.

“Habari yako mgonjwa”.Ilikuwa ni sauti tamu na nyororo ikipita masikioni mwangu na kusababisha akili na ubongo wangu kuhama kwa muda na kujenga fikra za kishetani katika mwili wangu. “Dogo unasalimiwa, mbona umekaza macho? Malaria ndiyo inazidisha kasi nini?”. Aliuliza yule jamaa muuguzi kitu ambacho kilinifanya nitoke katika yale mawazo yangu potofu. “Hamna Dokta, sema akili yangu inawaza itakuwaje hadi kesho ikiwa hivi hivi. Poa dada, mambo vipi?”.Nilimjibu yule jamaa muuguzi na kumsalimia yule muuguzi aliyeingia naye. Muuguzi yule alikuwa ni mdogo kimwili na mwenye rangi ya kuvutia sana. Alivalia gauni lake la kiuguzi ambalo kifuani lilimshika vizuri na kusababisha kile kifua chake chenye marimao mawili yaliyokomaa kubetuka kidogo na kusababisha hamsha nyingine katika mwili wangu. “Poa tu! Hali yako inaendaje?”.Aliuliza tena yule dada. “Mimi poa na ninamshukuru Dokta kwa kazi nzuri hadi hivi sasa naongea na wewe”.Niliongea maneno ambayo ni msomi pekee angejua nina maana gani. Hiyo shukrani kwa dokta haikuwa kwa ajili ya kunitibu, ila utaijua baadaye napoendelea kukusimulia.




“Haya dogo, mimi nataka kwenda zangu nyumbani sasa hivi. Wewe ukiwa na shida yoyote, muite huyu muuguzi. Anaitwa Nesi Subira, yupo hapa kwa ajili ya field au kwa Kiswahili field ni mafunzo ya vitendo”. Aliongea jamaa yule muuguzi huku mimi nikibaki na maneno machache kichwani mwangu yale ya ‘Wewe ukiwa na shida yoyote, muite huyu muuguzi’. Nilitabasamu na kumuaga dokta ambaye alianza kutoka nje ya mlango ya wodi ile huku nyuma yake akifuata yule Nesi Subira.

Baada ya wale wauguzi wawili kutoka nikaanza kujiwazia moyoni jinsi ya kumpata Nesi Subira ambaye kwa wakati huo tayari alikuwa kajaa akilini mwangu hasa kwa kile kivazi chake nadhifu na cha kuvutia kilichokua kifupi kiasi. Ufupi ule wa kile kivazi ulisababisha miguu yake nyororo kama losheni ya cocoa butter kuonekana hadi juu kidogo ya magoti, na ile michirizi nyuma ya miguu yake ndio haswaa ilimuamsha Prince na kusimama dede pale kitandani. Mawazo ya kumfikiria Nesi Subira yakaniteka akili na kujikuta nikibebwa na usingizi ambao ulikuja kuisha baada ya kusikia sauti ile ile ya Nesi Subira ikiniamsha. “We kaka, we kaka. Hamka ukapate chakula”.Aliniambia Nesi Subira baada ya kuamka. “Dada mimi siwezi, yaani hapa tumbo linanivuruga sana. Kwani saa ngapi sasa hivi?”.Nilizuga na kumuuliza swali. “Sasa hivi saa mbili na nusu, ndiyo muda wa wagonjwa waliyo katika uangalizi kwenda kupata chakula”.Aliniambia yule Nesi Subira baada ya kuangalia saa yake mkononi. “Aaah, mi siendi bwana. Kama vipi kaniletee huku huku. Chukua hela hii hapa”.Nilimwambia yule Nesi huku namkabidhi noti ya shilingi elfu kumi. “Haya kaka….” “Niite Prince”.Nilimkata kauli kwa kumtajia jina langu. “Haya Prince, kwa hiyo chakula gani?”.Aliniuliza. “Kalete kile unachoona kitanifaa mimi”.Nikamjibu huku namuangalia usoni.Hadi hapo nilikuwa namjibu majibu yangu kisomi zaidi. Kama angeelewa nachomaanisha,sidhani kama angeuliza swali linalo fuata. “Ok! Na kinywaji gani?”. “Hicho niletee chako mwenyewe”.Nikamjibu. “Changu mwenyewe kivipi?”.Akazidi kunichimba maswali. “Kwani wewe una kinywaji gani?”. “Mimi sina kinywaji”. “Okey! Nitakwambia baadaye. Sasa hivi niletee chochote utakachokiona”.Nikamjibu na baada ya jibu hilo,akatoka kwa ajili ya kwenda kufanya nilichomuagiza. Huku nyuma mimi nikabaki nawaza na kuwazua jinsi ya kumuingia yule Nesi Subira ambaye ndiyo alifanya hata ile sehemu ya kati ya shuka la hospitali ile kuwa kama pana panda na kushuka. Baada ya kuwaza sana, niliamua saa nne au saa tano za usiku ule ndiyo nifanye niliyotumwa na shetani. Baada ya dakika kama kumi na tano,Nesi Subira aliingia na kimfuko cheusi kidogo kilichosheheni chips mayai ndani yake pamoja kuku nusu. Wakati huo mkono wake wa kushoto alikuwa kabebelea maji ya kunywa na soda aina ya fanta. “Dah! We dada unajua sana. Hivi ulijuaje kuwa napenda fanta?”.Nikamuuliza swali lingine la kisomi huku nikimaanisha fanta ni yeye kutokana na rangi aliyokuwa nayo. “Mi ndo kinywaji changu hicho”.Alijibu huku anatabasamu. “Ha ha haaa, na mayai je?”.Swali lingine la kisomi. “Siyo saana, ila napenda yakiwa yamekaangwa”.Alijibu Nesi. “Kwa hiyo yakiwa yamechemshwa na yapo tayari kuliwa na wewe, unaweza kuyala?”.Nilizidi kutema mafumbo. “Mh! Ya kuchemsha mi siyo mpenzi”.Akajibu huku akizidi kutabasamu. “Kwa hiyo mayai yaliyochemka hata mawili humalizi?”. “Mawili tu! Hayo fasta,tena naongezea na koka”. “Aaaah”.Nilihamaki huku nikiwa na furaha baada ya jibu lile. “Eeee”.Akajibu. “Basi poa. Nikimaliza nadhani nitalala,au utakuja kupiga stori na mimi?”. “Mh! Sijui aisee. Ila nitaangalia si wajua vitu vya watu hivi”.Alinijibu wakati huo mimi nilishaanza kutupia kile chakula kinywani mwangu. “Ok! Poa. Ngoja mimi nile kwanza kwa maana ili tumbo nahisi linanyonga kwa sababu halina kitu”.Nilimjibu yule Nesi na kisha alinikabidhi chenji yangu na kutoka mle wodini. Sikutaka kumuonesha muda uleule nia yangu, mpango mzima nikaupanga ufanyike saa nne au saa tano kama kutatokea kikwazo kwenye saa nne. Baada ya kumaliza kula na kunywa, nililala kwa kujiegesha huku akili yangu ikiwa inategea saa nne ifike.          ******************************************

Saa nne na nusu ilipofika,nilishituka na kuanza kupiga vikelele vya kizushi ambavyo vilimfikia yule Nesi na mara moja alikuja napolala na kuanza kuniuliza kuna nini. Nilimjibu kuwa tumbo linanyonga huku nikigala gala pale kitandani kitu ambacho kilimfanya yule Nesi awe kama ananipindua pindua ili nisilalie tumbo. Huo ndio hasa wakati niliokuwa nausubiria kwa hamu,kwani wakati ananipindua ili niangalie juu na siyo kulalia tumbo, mimi niligeuka kwa haraka na kwa nguvu kidogo kitu kilichomfanya yule nesi mikono yake kutereza na kujikuta akiangukia kifuani kwangu huku mguu wake mmoja ukiwa chini na mwingine akiwa kaupandisha kitandani.

Nilibaki kidogo nimeganda, wakati huo nilimuona na yeye akihisi kitu fulani baada ya kuangukia kifuani kwangu.Kitendo bila kupoteza muda,nilichomoa mkono wangu na kushika kalio lake moja la ule mguu ulio chini na kufanya kama naupandisha juu ya kitanda. Kama na yeye alikuwa na mimi, wala hakuwa na hiyana, akapanda mwili mzima na kunilalia juu yangu,kisha akakutanisha kinywa chake kwa kukileta kwenye kinywa changu na kilichoendelea hapo ni ndimi zetu kupigana kama mapanga ya kwenye filamu.

Baada ya dakika kama mbili ya vinywa vyetu kupambana,alininong’oneza kwa sauti yake murua kuwa nisubiri kwanza. Akashuka toka kifuani kwangu na kukishusha chini kigauni chake nilichokipandisha wakati natafuta raha ya mikono yangu kwenye mapaja yake na makalioni.

Alitoka nje mara moja,naona alienda kuhakikisha usalama wa ofisi aliyopewa.Baada ya dakika tatu,aliingia mle wodini na safari hii aliingia huku anafungua vifungo vya gauni lake lile vilivyoenda hadi chini. Baada ya kuvifungua vifungo vyote, alinifuata huku lile gauni sasa likionekana kama koti likiacha kifua chake chenye matiti madogo yalishikwa na sidiria kuonekana vyema katika upeo wa macho yangu.

Alikuja na nguvu mpya,kwani baada ya kufika kwenye kile kitanda alinipandia tena kwa juu na kuingiza tena ulimi kinywani mwangu huku goti lake moja likaanza kusugua taratibu sehemu ya zipu yangu ya suruali,jambo lililofanya nihisi kama nataka kupaa lakini nisipae. Nilidebweda haraka sana,yaani hata kabla sijatoa nguo zangu. Nadhani yule Nesi aligundua hilo. Kwa ujanja wake aliofunzwa huko anapojua yeye, aliito suruali yangu nyepesi niliyolala nayo na akafuata zile zilizobaki na hivyo kusababisha sasa nibaki na nguo moja tu!Ambayo ni ngozi. Wakati ananitoa nguo,ni kama alikuwa ananipa muda wa kupumzika. Baada ya kumaliza kunitoa,na mimi ili nisionekane boya,nilimuwahi na kumpindulia kitandani hivyo nikawa juu yake. Kisha kwa viutundu vyangu vya kuungaunga, nami nikaanza kuvitumia kwa kuanza kumyonya shingoni,na kisha nikaanza kushuka hadi kifuani,kitovuni na baadaye nikafika maeneo ambayo yalikuwa yamefichwa kwa kibikini chake chekundu. Wala sikuhangaika,nilisogeza kwa pembeni kile kikofia cha bikini na moja kwa moja kwa macho yangu,nilikutana na kapango kadogo ambako nilikavamia kwa mdomo, jambo lililofanya yule Nesi aanze kutoa milio ya kuhamasisha mdomoni mwake huku mikono yake miwili ikiwa kisogoni ikikandamizia mdomo wangu kwenye kale kapango. “Ooh Prince, usiache kufanya hivyo,weka tena”.Hizo ni baadhi ya sauti zilizosikika kutoka kwa Nesi ambapo na mimi nikapata libichwa na kuzidi kutafuna kale kapango ambako mwanzo nilikaona kadogo,ila kila nikijaribu kutaka kukamaliza kwa kukatafuna nagundua siwezi kukamaliza.



Sikuwa na sababu ya kupaparika na Stela hata kidogo kwa sababu alikuwa ananiambia siri nyingi sana za kwake na za nyumbani kwao.Ila alipokuja kuaribu na kufanya nianze kutaka kumla haraka,ni siku moja alikuja ndani kwangu na kukaa na mimi kisha kuanza kuongea yaliyomsibu siku hiyo mtaani.

“Eti Prince, unamfahamu Lameck?”.Alianza kwa kuniuliza swali hilo.

“Lameck yupi Stela”.Nikamuuliza na mimi.

“Si yule msanii sanii anayekaa kwa Mama Tonga”.Akajibu.

“Ahaaa,kile kinachovalia suruali magotini?”.

“Ha ha haaa,mi sijui. Ila yeye mweupe kidogo,anapenda sana kukaa dukani kwa Mangi”.

“Ee, nishamjua. Kafanyaje kwani”.

“Mmh,eti mmh”.Akawa kama anaona aibu kuniambia.

“Nini? Mbona una guna guna tu!”.

“Eti leo wakati natoka shule akaniita pale dukani kwa mangi halafu akaanza kunitongoza. Halafu alipomaliza akasema nisimpe jibu niende kumfikiria”.Alivyosema hivyo moyo wangu ulijaa na hasira za ghafla,nikatamani nikifate hicho kitozi kinyesi,lakini Prince Mukuru nikajikaza na kuendelea kudadisi.

“Kwa hiyo wewe umeshamfikiria?”.Nikamuuliza.

“Ha ha haaa,hivi kijitu kama kile mimi nitakipeleka wapi? Nguo zenyewe kina azima,nauli ya kwendea shule anamgongea mlangoni mama yake asubuhi. Sasa atanipa nini yule”.Nilitabasamu kidogo baada ya kusikia hayo, kisha nikajisemea moyoni kuwa,watoto wa kike ni wajinga sana. Yaani yeye anadhani kuwa na mvulana,ni lazima mvulana huyo awe na kitu. Licha ya kuwa na kitu,vile vile ni lazima awe anapewa vitu hivyo yeye.Nikacheka kidogo na kuendelea.

“Sasa kwa nini usimkubalie tu!?”.Nikamuuliza huku natabasamu,wakati huo ilikuwa ni kama njia ya kuonekana sina haja naye.

“Wewee huu mwili wa almasi,hauguswi na mkaa “.Akajibu huku akisimama na kujiangalia angalia.

“Ha ha haaa,kwa hiyo Meck ni mkaa?”.

“Yaani zile ni levo za mkaa,nikimaanisha thamani yake ni mkaa na yangu ni almasi”.Bado niliamini kuwa Stela yupo kimaslahi zaidi na ndio maana aliongea vile.

“Kwa hiyo akiwa na hela utamkubalia?”.

“Aaah wapi,hata ajenge nyumba ya dhahabu halafu aje kavaa nguo zilizoshoneshwa kwa noti za elfu kumi,hapa ataambulia manyoya”

“Ha ha haaa,kumbe na wewe una maneno. Kwani wewe Stela umewahi kuwa na boy”.Nikamuuliza baada ya kuona huyo Lameck anazingua tu! kwenye soga zetu.

“Tangu nizaliwe,sema wengi sana wananifuata fuata lakini mimi sina muda nao”.

“Haya bwana,we jitunze hivyo hivyo”.

“Ha ha haaa,kwani wewe vipi? Maana sijawahi kukuona ukileta hapa mwanamke”.Aliuliza swali ambalo nilikuwa napenda sana aulize. 


Hapo nikakumbuka filamu moja kaigiza JB, sijui hata inaitwaje. JB yeye alisema, ukitaka kumpata mwanamke, usimwambie kuwa hujawahi kuwa na mwanamke, kwa sababu wanawake wengi sana hupenda wanaume waliyowahi kuwa na wanawake hapo zamani au hupenda wanaume wenye wapenzi tayari,hasa hawa chipukizi kama Stela.

“We acha tu!”. Nikaongea huku kama nimeumia moyo.

“Vipi tena?Mbona umeshindwa kuendelea”.Akaniuliza

“Umenikumbusha mbali ujue?”.

“Wapi tena,mbona umenitisha?”.Aliongea huku akiwa tayari kusikia nitakachomwambia.Wakati huo mimi nilikuwa napanga niseme nini ambacho kitamfanya ajisikie kuomba samahani.

“Aaah! Achana na hizo bwana,tupige story zetu”.

“We si uniambie tu!”.Bado alikuwa ana hamasa ya kujua nini kilichonisibu.

Nilikuwa na viujuzi kidogo vya wanawake,vingine nilivipata bongo muvi na vingine mtandaoni. 


Ukitaka kumteka hisia mtoto wa kike kuhusu historia yako ya mapenzi ya nyuma,basi muhadithie ya kusikitisha hata kama ni uongo,hivyo kwangu mimi wala sikuwa na tatizo kuhusu hilo.

Nilipopata cha kumuhadithia,nikaanza kwa upole kuufungua mdomo wangu.

“Nilikuwa naye,lakini hadi sasa sinae tena”.

“Ilikuwaje?”.Akauliza.

“Aliniacha wakati nampenda sana" “Yaani ilikuwaje kuwaje mpaka mkaachana”.

“Alifariki bwana”.Niliongea huku nikionesha wazi naumia ili asiendelee kuuliza alikufa vipi.

“Heee,pole jamani. Sikujua bwana,kumbe ndiyo hivyo? Samahani sana”.Alikuwa mpole na kuanza kunibembeleza.

“Hamna,mbona kawaida tu!.Ila ndo sitaki tena mwanamke”.Nikazuga

“Mh! Haya bwana”. 

“Poa usijali”.Tulimaliza kuongea na kuanza kupiga hadithi nyingine huku nikiamini kuwa tayari nishafunga goli la kisigino,muda si mrefu ataingia ataleta mpira kati na kuanzisha mchezo.

Baada ya kuongea sana,aliniaga na kwenda zake kwao huku akiniahidi kunitembelea kila apatapo muda. Sikuwa na wasiwasi kuhusu suala hilo kwani muda wowote kuanzia siku ile ningemaliza mchezo.


***********


Siku zikazidi kukatika bila ya mimi kumfanya chochote huku na yeye akiendelea kuja kwangu kama kawaida.

Siku moja ilikuwa ni majira ya saa kumi mbili jioni. Walezi wake wakiwa makazini huku beki tatu wao akiwa kachukua likizo ya wiki moja na kwenda Kondoa.

Nakumbuka siku hiyo alikuwa katoka kuoga na moja kwa moja alikuja hadi kwangu akiwa kavaa kanga moja halafu yale maji hakuyapukuta hivyo aliifanya kanga yake kulowa kiasi fulani na kunatia mwilini hasa maeneo ya mgongoni hadi kwa Madiba,yaani bondeni.

“Prince nasikiaga harufu ya losheni yako ya cocoa butter clere,naomba na mimi nipakae. Huwa naipenda sana,sema sina hela ya kununulia”.Alianza kuongea baada ya kuingia sebuleni kwangu. Wakati huo mimi nilikuwa bado siamini kinachoendelea.

“Ahaaa,nikuletee hapa sebuleni au utaingia huko ndani upake mwenyewe?”.Nikauliza.

“We endelea kucheki TV hapo,ngoja niingie labda nitaona na kingine cha kutumia”.Alinijibu na kugeukia mlango wa chumba changu na kusababisha nione ule mzigo aliuobeba kwa nyuma vizuri na kwa ufasaha.Na kwa kuwa ile kanga ilikuwa nyeupe na yale maji yaliilowanisha,niligundua kuwa kavaa chupi ya pinki.

“Mama weeee,huyu mtoto mbona anataka kuniletea kesi isiyo na maana?Hivi anataka kupaka mafuta kweli au anataka kunivuta nimtoboe”.Nilijiwazia kichwani baada ya kumuona kaingia chumbani.

“Sasa leo ni lazima alie.Maana kishaniona mimi bwege sana huyu,yeye wa kuniijia na kikanga mimi?”.Nilizidi kuwaza huku nikiona kama kanishusha kwa alichokifanya.

Baada ya dakika kama kumi alitoka na kuanza kuniaga.

“Asante Prince,nishapaka”.

“Ok!Poa basi”.Nilimwambia kisha akakamata kitasa cha mlango wangu kwa ajili ya kuufungua.

“Stela”.Nilimuita.

“Abee”.Akaitika na kugeuka mzima mzima.

“Hiyo ni nini?”.Nilimuuliza huku namuoneshea kwa kidole sehemu zake za nyuma.

“Kwani kuna nini?”.Huku akiangalia pembeni kama anatafuta kitu.

“We uoni?Au?”.Nikamuuliza

“Sioni,kwani kuna nini?”.Alijibu huku akionesha kweli afahamu.

“Hicho ulichobeba nyuma chini ya mgongo wako”.

“Halafu wewe,mi sijui nilidhani nini”.Huku bado kasimama kunilekea mimi.

“Geuka basi nione tena”.

“Kwani na nini cha ajabu?”.Huku ana tabasamu

“We geuka tu! Hiyo ndiyo fahari ya macho yangu kwako,sema hujui”.Huku anakula kucha wakati huo huo anatabasamu,aligeuka na kunipa mgongo hivyo kunifanya nione tena ule mzigo alioubeba.

“Nikwambie kitu?”.Nilimuuliza wakati huo bado nilikuwa nimekaa kwenye kochi moja dogo,nikiwa mbali naye kama mita kumi hivi.

“Sema tu!”.Akanipa rungu Prince mie.

“Ipandishe hiyo kanga juu kidogo hadi na paja zako zionekane, kidogo tu!”. Acha kabisa. Nasema nyie acheni kabisa,mngeona nadhani sasa hivi mngekuwa mshabaka zamani hasa nyie wanaume. Ila kwa Prince wala sikuwa na wasi,mi mjanja lakini bwege tu!.

Alipandisha ile kanga hadi ile sehemu kubwa ya mapaja yake ikaonekana.Hapo uchu ukanipanda lakini nikavumilia na kuomba kitu kingine.

“Stela,niombe ombi la mwisho?”.

“Omba tu!”.Naomba nikushike. Hapo akaa kimya,na kwa sisi wazungu tunaamini kuwa “SILENCE MEANS YES”. Basi nikanyanyuka na kumfuata pale alipo na kushika kalio lake moja na kulirusha kwa juu. Nalo likakubali kurushika.Lilivyotua chini likawa linatikisika kama kitambi cha mtu anayekimbia riadha. Alikuwa katulia wakati nafanya hivyo. Nikazidi kuonesha ujanja wangu. Nikakishika kiuno chake kwa nyuma,na kuanza kuupeleka mdomo wangu shingoni kwake. 

Stela alikuwa ana kiuno laini sana,yaani kama kifaranga cha kuku jinsi alivyokuwa laini. 

Nilipoanza kuupeleka mdomo wangu kwenye shingo yake,nikaanza pia kuamisha mikono yangu kwa kuipeleka kifuani pake ambapo nilikutana na vichuguu viwili vigumu gumu kiasi. Nikawa naviminya vile vichuguu kwa mikono yangu miwili hadi pale niliporidhika.

Ule mdomo wangu ukawa tayari umeyakaribia maeneo ya shingoni. Kabla sijaanza kuigusa ile shingo,nilianza kwa kuipumulia kwa pua yangu kitu kilichofanya aanze kuipinda pinda shingo yake na baadae alipoona anaweza kupiga kelele au kuumbuka,alichomoka mikononi mwangu na kufungua mlango na kutoka nje ya chumba changu.

“Ishi! Sasa huyu mtoto anaenda wapi sasa? Hajui tayari mwenzake nishakufa hapa.Asije akasababisha nianze kupiga masta!!,ha ha haa,hiyo kitu haitokei”.Nilijikuta naongea peke yangu baada ya Stela kuondoka.

“Au atakuwa kamaindi nini? Lakini mbona alikuwa haleti fujo wakati naangaika na mwili wake?”. Maswali yakizidi kumiminika kichwani.

“Aaah! Bwana eeh,atajua mwenyewe. Hata akimaindi,mimi sijali. Kwanza mimi ndiyo baba mwenye nyumba”.Nilikata shauri huku bado nikiwa palepale nilipokuwa nimesimama mara ya mwisho na Stela.

“Mh! Ila mtoto ana chuchu ngumu kudadeki.Dah! yaani kama kibuyu au kiboga kilichoanza kuota”.Nilijikuta nasifia huku natoa tabasamu.

“Sasa pale kiunoni,dah! Nilihisi kama nashika unga wa ngano. Ila lile tako,ha ha haaaa kama nyanya masalu”. Nilijikuta najisemea peke yangu kwa dakika kama tano huku nacheka kilichotokea muda mchache uliyopita.

Baada ya kuridhika na ile hali ya kuwa kichaa kwa kucheka cheka,niliamua kugeuka na kuanza kurudi pale nilipokuwa mwanzo. Lakini kabla hata sijapiga hatua moja kwenda kwenye lile kochi,nilisikia mlango unafunguliwa bila hata hodi. Nilipogeuka alikuwa ni Stela akiwa kavaa vile vile kanga yake,lakini safari hii aliingia na nguo kazishika mkononi.

“Prince naomba ninyooshe nguo zangu na kupulizia ile pafyumu yako ya Romance”Alianza kuongea baada ya kuingia.


CHOMBEZO: MPANGAJI

EPOSODE: 3(Inaendelea)

Niligundua zile zilikuwa ni njia za kutaka kufanyiwa mapepe tu! Na wala mimi sikujali kama kaja kupulizia pafyumu nguo zake,au kaja kunyoosha. Nilichofanya nilimkamata kiuno chake na kumvutia kifuani kwangu kisha nikapeleka mdomo wangu kwenye kinywa chake.


Stela alikuwa hajui chochote nilichokuwa nakifanya. Pale nilipompa ulimi wangu hakujua aufanye nini,na pale nilipoutoa kinywani mwake,hakuuleta wa wake.

“Ingiza ulimi wako mdomoni mwangu”.Nilijikuta namwambia afanye hivyo ili twende sawa. Hakuwa na ajizi,alileta ulimi wake mdogo na mwembamba katika kinywa changu,na mimi nikaanza kuumumusa kama pipi.

“Na wewe nyonya wangu”.Nilimwambia baada ya kuunyonya wake kwa muda kidogo. Alifanya nilivyomwambia na tulijikuta kila mtu anafurahia lile tendo pale pale tukiwa tumesimama.

Baada kama ya dakika mbili ya kulana ndimi zetu,nilimnyanyua na kumbeba, ambapo miguu yake ilipita kiunoni na mikono yake shingoni, wakati huo nguo zake alikuwa kesha zidondosha chini,naona ni sababu ya raha alizokuwa anazipata.

Nilimbeba hivyo hadi kitandani kwangu kisha nikambwaga kwa utaratibu mkubwa na kumweka kifudi fudi.Nilijua Stela hakuwa mzoefu wa mambo yale,hivyo nilichofanya ni kuanza kumfanyia yale mambo ambayo yatakuwa mara ya kwanza kwake.


Baada kumweka kifudi fudi,nilianza na kanga yake kuichoropoa. Akabaki na chupi yake ya pinki huku kwa juu akiwa hajavaa kitu. Nilimlalia kifuani kwake na kuanza taratibu kuinyonya shingo yake ambayo niligundua ndiyo sehemu yake dhaifu sana.

“Stela”.Nilimuita huku naisugua sugua chuchu yake ya upande wake wa kushoto.

“Abee”. Aliitika kwa mahaba huku akinyinyonga nyonga kwa raha.

“Unajua wewe ni mzuri sana”.Nilimwambia huku nikimuacha hana cha kusema zaidi ya kutabasamu.

“Unapenda mwili wangu uingie kwako?”.Bado alikaa kimya huku akiwa anaona aibu.

“Jibu basi,au hupendi?”Nilimkazia kidogo.

“Napenda,ila usifanye kwa sana”.Alinijibu na kunisababishia kicheko cha moyomoyo.

“Nisikufanye kwa sana!!?.Wewe kichaa nini,umeishaingia tunduni,acha nikuoneshe mambo”.Nilijiwazia kichwani kisha nikaurudisha ulimi wangu kinywani mwake na kuanza kupambanisha vinywa vyetu tena.

Nilifanya hivyo kwa sekunde kadhaa.Nilipoona nimeridhika,nikauingiza mkono wangu wa kushoto kwenye chupi yake pale kwenye maeneo ya mbele.

Baada ya kuingiza,kama kawaida yangu nikaanza kuutafuta mlango wa kuingilia pangoni. Haikuchukua hata dakika,nilikuwa nimeupata lakini kila nilipojaribu kuingiza kidole ili niangalie kama kuzima au kumekufa,nilikumbana na upinzani mkubwa wa kubana mapaja kutoka kwa Stela. Kila nilipojaribu,alikuwa ni mbishi kufungua ile sehemu.

“Mbona unanifanyia hivyo?”.Nilijikuta nauliza kwa mahaba yaliyochanganyika na uchungu wa kubaniwa kuingiza japo kidole pangoni.

“Mi naogopa Prince”.Alinijibu kwa sauti ya puani.

“Unaogopa kwani hujawahi?”.Nilimuuliza kana kwamba nilikuwa sifahamu.

“Ndiyo sijawahi hata mara moja”.Alinijibu na kunifanya nitabasamu.

“Basi usiogope,wewe achia na mimi wala sitoingiza sana kidole”.Nilimtoa wasi wasi na hapo nikajaribu kuingiza tena kidole pangoni wala hakuwa na shida,lakini shida ilikuja baada ya kile kidole kuingia mle ndani na kukutana na ukuta mgumu kidogo ambao huo ulinifanya niamini kuwa Stela hakuwahi kuguswa na mwanaume. 


Nilichokifanya baada ya kugundua hilo ni kutoka upande ule niliyokuwepo ambao ni kichwani,na kwenda miguuni kwake.

Baada ya kufanikiwa kwenda,niliivuta chupi yake na kuitoa maungioni kwake kisha nikaupeleka mguu wake mmoja kaskazini na mwingine kusini na kufanya lile pango lake lionekane kwa ufasaha zaidi.

Kama kawaida yangu. Nilianza taratibu kunyemelea lile pango kwa mdomo wangu.Nilipolifikia nikajaribu kwanza kulisalimia kwa ulimi. Hapo nilisikia sauti kutoka mdomoni kwa Stela ile ya kama kakatwa na kiwembe au kakanyaga mwiba. Nilipoona imemgusa hiyo hali,niliamua kuweka mdomo wangu na kuanza kulitafuna lile pango na kusababisha aanze kutoa kelele nyingi za ajabu.

“We Stela nini?”Nilimuuliza.

“Usifanye hivyo bwana Prince”.Aliongea kimahaba huku yale macho yake ya kurembua yakiwa kama yanataka kudondoka.

“Vipi?Hivi?”.Nikaweka tena mdomo wangu.

“Yuwiii,Prince,aaah,assssss”.Alikuwa kama kakanyaga moto,kumbe ni utamu tu!.

“Sasa nifanyaje?”Nilimuuliza.

“Usinaniii hivyo”.

“Nisinanii hivyo nini?”.

“Aaah,basi endelea”.

“Haya. Ila ngoja kwanza”.Ni kama nilishituka toka usingizini.

“Nini?”.Na yeye akauliza.

“Wazee wako hawajarudi?Wasije wakatukuta hapa”.

ITAENDELEA...

0 Comments