COMRADE AKIWA BROKE 😂💸
1. M-Pesa Balance
Unacheki mara tatu ukidhani system imekosea.
Balance: 0.47 bob
Hiyo 0.47 unaipanga kama inheritance.
2. Kula
Unasema “leo nitafunga” kumbe ni njaa tu.
Chai rangi + matumaini.
3. Matumizi
20 bob inaweza:
fare
lunch
ama zote kwa mawazo yako tu 😭
4. Friends
Ukiona message “uko aje?”
Tafsiri: niko broke pia, tunaeza tembea?
5. Night Plans
“Leo sitoki.”
Sio kwa nidhamu, ni juu huna kakitu
6. Wi-Fi
Unajua password za Wi-Fi ya kila jirani.
Ukiona imechange, moyo unauma kuliko breakup 💔📶
7. Allowance
Ukisikia bado wiki mbili,
roho inaondoka mwilini polepole.
Comrade akiwa broke
ni maisha ya kuhesabu tu coins, kuomba chai, na kuamini kesho itakuwa bora 😂🙏🏽
👉🏽 Kama hii imekuumiza kidogo, usijali, tuko wengi 🤝🤣
Tags:
Fun
