Dalili Zisizopingika Kuwa Wewe ni Mtu Mzima

Dalili Zisizopingika Kuwa Wewe ni Mtu Mzima



1. Unalala vibaya… sio kwa sababu ya stress, bali kwa sababu uligeuka vibaya.

2. Ukiona watoto wakikimbia ovyo unasema, “Hawa wazazi wao wako wapi?” kama wewe si mtoto wa mtu pia.

3. Furaha yako kubwa siku hizi ni kulala mapema bila mtu kukupigia simu.

4. Ukipata hela kidogo unafikiria, “Hii inaweza kununua sabuni, mafuta na sukari…” sio sherehe.

5. Unafurahia discount kuliko mshahara.

6. Ukiona mtu anasema, “Mi niko na energy ya kutoka leo” unamuonea huruma.

Tulidhani utu uzima ni uhuru. Kumbe ni uchovu wa kudumu na maumivu ya mgongo ya bila sababu 🤣

Kama umecheka hata moja, samahani… wewe ni mtu mzima rasmi.

Jaba Zulma

Siyumbi

Your Thoughts

Previous Post Next Post

Contact Form