NAISMA 7
Mtunzi: Zamrata Mbwana
No. +255698095257
Tulipo 🌷 ishia Ni Pale Naisma akiwa analudi Hotelini alipopanga kwenye Chumba chake Na alishangaa kuitwa aligeuka Na alikuwa Ni Lamek.....
Songa nayo 🔥.
"We . We . Imekuaje upo Hapa Lamek !
"Aaa ! Tutafute sehemu mzuri tukae ndo tuongee ! Jamani ! Kama ugomvi !!!!
"Aaaa ! Sawa
Lamek walikaa Hapo kwenye iyo Hotel kulikuwa kunasehemu ya kulia chakula na walikaa nakuanza kupata kinywaji uku wakiwa wanaongea
"Aaanhaaa ! Si unajua zile shuguli zangu za maphoto Ndo Ivo Tena !
"Okay ! Sawa
Walipiga Stori kwa Mda Na . Naisma aliinuka nakwenda kujisaidia na kuludi Pale
Naisma alichukua juisi 🍷 yake na kuendelea kunywa Cha ajabu mda ulivyozidi Kwenda aliona mwili ukichoka Na alijikuta amelewa
"We ! Lamek ! Hii juisi.i.ina.nini.mbona.nalewa.?
"Aaaaa ! Usijali mpenzi utakuwa Sawa Mda si mrefu !
Naisma alizima Na Lamek alifurahi Sana kumbe alimuwekea Madawa Naisma kwenye Ile Juisi
"Wow ! Ashanasa !!!!!!
Lamek aliinuka nakumkokota Naisma Adi chumbani kwake . Alimfatilia Mda na alijua Adi chumba alichofikia . Alifika chumbani na kumtupia kitandani
"Waoooo !!! Na nilivyokumisi !
Gafla Simu ya Lamek iliita Na Recho Ndo aliekuwa anapiga "Vipi kazi inaendeleaje ? Umefikia wapi !?
"Kazi ishaisha Wewe subili tu vidio Sasa ivi utaona Naisma anavyo nyanduriwa !
"Sawa ! Kazi njema !
Recho alikuwa chumbani kwake mda huo alikata Simu nakutabasamu kinafki .
"Waoooo !!! Huu Mda Ndo wa Mimi kwenda chumbani kwa Haidary kumaliza kazi .
Recho alijilemba nakuvaa kinight dress chake chini akavaa kanga
🌿
Lamek alichukua Simu yake na kutegesha vizuri kwa jili ya kuchukua video Na alianza kuvua shati lake Na kuvua singlendi
Gafla mlango uligongwa "Aaaa ! Wahudumu wengine jau Kama Nini Ani !
Lamek alielekea mlangoni Na kwenda kufungua mlango . Alitoa macho 😳 hakuamini Baada ya kumuona Haidary Frut Ndo alikuwa anagonga
"Wew !
Haidary Frut akutaka kukalibishwa alizama Ndani . Akuamini macho yake baada ya kumkuta mkwewe Naisma akiwa kalala ajitambui . Alimuita Na kumtikisa .
Lamek alikuwa kwa Nyuma akiwaangalia tu . Haidary akamgeukia Lamek kwa hasila
Lamek alishtukia ngumi ya Uso takatifu Na kudondoka chini ajaka sawa ngumi Tena
"Ulitaka kumfanya Nini ? Mke Wangu ?
Lamek aliinuliwa na kukidwa juu juu . Lamek alijitaidi kumporonyoka Haidary Frut Na akachukua Simu yake nakukimbia . Na alimuacha Haidary Na Naisma
☘️🍂
Recho aliona cha kula kimetengwa cha usiku
"Ngoja nikamuite Haidary pia aje kula !
Recho alisema Ivo nakuona kashapata chansi yakwenda chumbani kwa Haidary Frut
"Oooh ! Haidary Frut ayupo aliondoka jioni ,!
Jasmin alijibu uku akiwa bize kuandaa chakula cha usiku
"Khe 😄! Kaenda wapi Tena!? Haidary jamani !
"Kwani ! Hakumwambia mlivyoludi tu Hospital hakuchelewa amenda kwa mkewe Naisma !
"Aa . Aa.a.a. kumbe !
Recho alivulugwa kusikia Ivo alitabasamu kiuwongo uwongo Na akaenda chumbani kwake mda huo huo
"Aaaaaaaaa!!!! Yaani mipango yote ile nilioifanya bure kabisa !!!!
Mda uwo uwo iliingia message na ilikuwa Ni ujumbe uliotumwa Na Lamek
"Waoooo! Akijaalibika kitu vidio mnayo !
Recho alijisemea nakuwasha Data kuangalia iyo video akuamini aliona Lamek akipigwa Na Haidary Frut kisawasawa
"Aaaaaah!!!!!!!!!
Recho alipiga kelele kwa hasila mno. Adi Jasmin akaja Chumbani kwake
"Vipi !? Recho kunatatizo Gani ?
"A .a.aa.a Amna nilijitonesha tu !
"Anha ! Sawa
Jasmin alitoka Recho alikaa chini machozi yalianza kumtoka mda huo huo Lamek akapiga . Akapokea
"Recho ! Umeona iyo vidio Yani jamaa Kama mchawi ! Kaja mda ule ule wa tukio ! Sikufanikiwa kufanya chochote ! Kile
"Wewe Ni bule tu ! Achana Na Mimi !!
"Halo ! Halo ! Recho
Recho alikata Simu Na alilia kwa uchungu wivu ulimjaa
♥️♥️♥️♥️♥️
Haidary alienda kuoga Na aliludi nakupanda kitandani alimbusu mkewe Naisma Na akachukua kichwa Cha Naisma Na kumuegemeshea Kifuani kwake . Naisma alikuwa hajitambui Wala hakujua Kama Haidary Frut amekuja Pale . Walilala Hadi Asubuhi.
Songa nayo 🔥
Naisma aliamka Asubuhi na mapema alishangaa kumuona Haidary Frut pale
"Haidary !!!!!!
Haidary aliamka Na alikaa pia
"Naisma mke Wangu ! Unajisikiaje !?
Naisma alijisikia maumivu makali ya kichwa
"Nakumbuka Mara ya mwisho nilikuwa Na Lamek ! Imekuaje wewe upo Hapa ?
"Yaani uyo mshenzi sitaki kusikia ata jina lake kwa sababu ! Nilimkuta anataka kukubaka !
"Khe ! Anataka kunibaka !
"Ndiyo nilimkuta (..........) Yaani ushukulu tu nilifika kwa wakati
Haidary Frut alimuadisia yote Alivyo mkuta Na Lamek na Naisma machozi yalimmwagika
"Lamek mshenzi Sana ata sijui kwanini ? Alitaka anifanyie Ivo!!!
Naisma alikaa kimya kwa mda
"Asante ! Haidary kwa msaada wako sijui hata ningeweka wapi hii Sura yangu jamani !
"Usijali mke Wangu Ni wajibu Wangu kukulinda Na mabaya !
Naisma aliinuka nakwenda kuoga ili mwili ukae Sawa . Haidary pia alienda kuoga . Naisma alipiga Simu na Baada ya mda Chai ☕🍞 iliketwa Na walikaa kwenye kiti Na kuanza kunywa . Walikunywa .
"Ivi Naisma ! Kwanini ulikuwa upokei Simu yangu !?
Naisma alivyosikia lile swali alikaa tu kimya akujibu kitu
"Si nakuuliza Wewe Naisma Adi ! Unanipa wasi wasi nakuja uku ! Ila sio mbaya nimekusaidia !
"Wasi wasi wa Nini ? Na ulikuwepo Na Recho wako uko !!!
Naisma aliongea nakuinuka kwenda Dirishani . Haidary Frut alitabasamu Na alijua Naisma Ni wivu tu unamsumbua
Alimfata nakumkumbatia kwa Nyuma kwa mahaba alimshika kiunoni kimahaba
"Haidary niache bhna !
"Please ! Naisma leo tu ! Niachie nikushike popote mke Wangu nimevumilia vya kutosha kipindi chote !
Naisma alitaka kukataa lakini alikumbuka maneno ya wenzie kuwa Recho atamchukua Haidary Frut Kama yeye atakuwa mgumu mgumu .
Naisma alitulia tu. Na Haidary Frut alianza kumpapasa kimahaba Naisma Na aligeuza Na kuanza kumbusu 😘 wakilomance kwa mda na Naisma alitulia tu kila alichofanyiwa Na Haidary Frut akubisha Na Haidary Frut akaona hii ndo fursa alimbeba Naisma na kumlaza kitandani na alimlalia kwa juu nakuanza kumbusu alianza kumpapasa mwili mzima
Naisma alitulia tu. Na walizama kwenye Dunia ya mahaba mazito 😘 .walifanya mapenzi . Na baadae walipitiwa Na usingizi.
Naisma aliamka Na kwenda kuoga . Alijiandaa .
"Unaenda wapi ? Mke Wangu
"Aa.aaa. natoka naenda Ofsini kuna ripoti nataka niipeleke !
"Okay ! Subili Twende wote !
Naisma aliongea uku akiona. Aibu alimuonea aibu Haidary Frut
"Apana ! Nitaenda mwenyewe tu !
"Nishasema tutaenda wote !!!
Haidary Frut aliinuka nakwenda kuoga aliludi nakujiandaa alivalia kisweta cha mikono mirefu cha kiblaza men Na jinsi alizidi kuwa Handsome . Naisma alizidi kuvulugwa asaiv ndo akaona Kama Haidary Ni mwanaume kamili Na Ni Handsome Tena Sana Na alishukulu kumpata Na alijikuta Ana mpenda kila siku zinavyozidi Kwenda ....
Naisma aliwasili katika Ofisi iyo Na Haidary Frut alibaki nje kumsubiri Na aliona madafu yanapita na Haidary Frut aliyafata na kununua...
Naisma alitoka Ndani ya Ofisi . Alivyofika nje alisikia anaitwa kwa Nyuma "Dada ! Samahani !
Naisma alisimama nakugeuka Nyuma Na alimuona mkaka handsome pia
"Habari ! Kwa majina naitwa Sadic Kama hutojali ! Naomba namba yako ya Simu ? Pia ningependa kujua jina lsko pia !
"Aaah! Naitwa .
"Unaongea ? Nae Nini ! Mke Wangu !!!!
Mda uwo uwo Haidary Frut alifika eneo ilo Na alimuuliza Yule Kaka kwa hasila
"Haidary ! Mbona Ivo ! Jamani !!
"Samahani ! Kaka sikujua Kama uyu Dada anamke !!!!!
Yule Kaka aliondoka Na . Naisma alikasilika nakuondoka zake
"Naisma ! Naisma !!!!!!
Naisma akujibu kitu Na aliondoka zake
NAISMA.28.
Mtunzi: Zamrata Mbwana
No . 0698095257
Tulipo ishia 🌷 ni pale Naisma alivyoondoka kwa hasila Na kumuacha Haidary Pale....
Songa nayo 🔥
Naisma alifika Hotelini Na aliingia kwenye Chumba walichofikia Na alifika nakukaa kwenye Sofa . Mda uwo uwo Haidary Frut alifika pia
"Naisma mke Wangu ! Ndo umenikasilikia ! Jamani
Naisma hakujibu kitu Na alimgeukia pembeni
"Samahani ! Naisma mke Wangu yote kwasababu ya wivu tu ! Kwa sababu Nakupenda Na sitaki kukupoteza !
Naisma aliinuka nakutaka kuondoka . Haidary Frut aliinuka pia nakumvuta mkono Na kumsogezea kifuani kwake
"I love you ! Naisma please ! I'm sorry love
Haidary Frut aliongea nakuanza kumbusu 😘 wakilomance. Na walizama Tena kwenye mapenzi mazito .
Siku iliyofata Walijiandaa Na kuludi Dar. Walifika Nyumbani wakapokelewa kwa Furaha . Recho roho ilimuuma Sana alivyomuona Naisma akiwa Na Haidary Frut .
Na alitabasamu kinafki Kama kawaida yake.
Baada ya mda alimuona Haidary Frut akiwa peke ake na alimfata
"Haidary ! Sijapenda kabisa ! Ulicho nifanyia !!!!
"Mimi ? Nimefanya Nini ? Tena !!!
"Kuondoka ! Bila kuniaga
"Oh , kumbe ilo tu kwani lazima nikwambie kila kitu Recho !?
"Ndiyo ! Haidary
"Apana ! Wewe Ni Rafiki tu ! Mke Wangu Ndo anahaki iyo !!!
Maneno Yale yalimchoma Sana . Recho Na alitabasamu kinafki
"Enhe ! Vipi mguu wako unaendeleaje asaivi. ?
"Unaendelea . Vi ..
"Oooh !! Mke Wangu Naisma kanitumia ujumbe niende Mara moja ! Tutaongea badae !
Recho machozi yalimlenga kwa hasila wivu ulimshika
"Yaani ! Naisma lazima nitakula sahani moja na Wewe !
Recho alijisemea uku machozi yakimlenga kwa wivu
♥️♥️♥️
Haidary Frut alifika chumbani na kumkumbatia mkewe Naisma ambae alikuwa anamalizia kutandika kitanda
"Jamani ! Haidary unafanya Nini Adi saizi uko nje !
"Aa! Nilikuwa naongea Na Recho !
Naisma Alivyo sikia jina la Recho tu Uso ulimbadilika
"Okay! Samahani kwa kukukatishiani mazungumzo yenu !
"Apana mke Wangu ! Nakupenda
Haidary Frut alipanda kitandani nakumkumbatia Naisma
"Kheee 😳 uwendi kulala kwenye Sofa !!!
"Aaah! Wewe Nani !? Tena akalale kwenye Sofa .
"Hahahaha !!!!!
Wote walicheka kwa Pamoja. Uwo Ndo ukawa mwanzo wa mapenzi ya dhati kwao Haidary Frut na Naisma.......♥️♥️♥️♥️
Siku zilipita maisha yaliendelea . Siku iyo Recho alienda Ofsini kwa Haidary Frut na alimkuta Haidary Frut yupo bize na kazi yake aliingia na kumsimamia
"Haidary ! Mbona sikuelewi ?
Haidary Frut Alikuwa kaegemea kiti alichokalia uku akikizungusha
"Unielewi Nini ? Recho ?
"Kati yangu Mimi Na Naisma yupi unae mpenda ?
"Khaa ! Swali Gani ilo Recho ! Mimi Nampenda mke Wangu Naisma !!!
"Waoooo !!! Asante ! Asante ! Sana Haidary Baada ya yote niliokufanyia leo Ndo umeona unilipe hivi ! Mimi Ndo niliokutengeneza Ivo ! Mimi Ndo nilikupa kazi mzuri toka shule nilikuwa 😭 nikikusaidia Adi leo ukubwani unanijibu Ivo ! Kila hisi lahisi kuwa unampenda Naisma ? Wewe uyo Naisma sindio aliekukataa Apo mwanzo Na alikuona maskini leo nimekubadilisha Mimi Tena unitaki ! Asante Haidary kwa yote !!!!!!!
Recho aliongea Ivo nakutoka Nduki uku akikimbia Na Haidary alimfata Nyuma
"Recho! Recho ! Subili Kwanza tuongee !!!
🦜🦜
Njoo WhatsApp Tsh500 umalizie +255698095257
Your Thoughts