MAISHA YA SASA: PURE REALITY 😭🔥
Unalala usiku ukiwa umeshtuka, usingizi hauko, akili iko kwenye list ya mambo yasiyo na solution 😅
Pesa ipo? Haina, bills zimepita, debt imechukua first class 😭
Chakula? Ni peanut butter na bread au instant noodles, maybe tea tu ☕
Wakati unapita, unajua siku zinaenda lakini hakuna kitu cha maana kinatokea 👀
Social life? Hiyo ni myth, online tu, lakini energy ipo zero ⚡
Stress? Iko juu kuliko Wifi ya hostel 😂
Unakimbilia weekend? Ni maombi ya few hours za usingizi, sio fun 😭

0 Comments:
Post a Comment
Your Thoughts