SURA MBAYA

 SURA MBAYA


Kutunga sitakuacha, ushairi sijaacha,

sasa ninatoa kucha, lizokuwa nimeficha,

kwani Mie galacha, mkuu wa ma galacha,

Sura mbaya waambaje, tangu nilipokuacha,


Sura mbaya kama nyani, kifua;nyuma flati,

mwili sawa na ukuni, na tena wajiposti,

weye hata huna soni, uache kujikosti,

Sura mbaya uko poa, yani hofu ni kwako tu,


Nasikia wajiuza, sijui kivipi vipi,

nami swali nalijaza, huuzi walamba pipi,

na kipaji wakikuza, kulamba Lolo na pipi,

Umeshakuwa malaya, stadi na maarufu,


Matiti ka ya nyanya, Mzee aliyekonga,

maozi kama ya panya, tena bado unaringa,

mtu anapokukanya, ndugu hakuna kupinga,

Sura mbaya maskini, usijali u mrembo,


Aa! Mrembo kitu gani, Sura yenyewe kiatu,

kwako nifuate nini, miguu kama usitu,

mie shakula yamini, kuja kwako sidhubutu

Sura mbaya maskini, ushajua mi ni mahiri?


Na: Emmanuel Charo

©2019, October.


That is enough for her! ha! ha! ha!

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.