Utamu Wa Mchepuko Mwisho



UTAMU WA MCHEPUKO 05

MWISHO

MTUNZI:ISACK KALINDI

WHATSAPP:+255764593709


ILIPOISHIA SEHEMU ILIYO PITA

“niletee kisu babee huyuu malaya siwezi kumuacha haii lazima nimuuwe bila kumuuwa ataendelea na tabia yake”

“babee noooo, siwezi kukuletea ichooo unachoo kitaka tafadhali babee naombaa umuache aondoke”niliendelea kumusihii yule mama  amuachie linah tayali rohoo  ya huruma ilikuwa imeanza kuniingia nilitamanii linah aachiwee


“babeee nisaidie ananiuuuuu……………” kabla hajamaliza kuongea lolote  yule mama alichukua kisu ambacho huwa nakiweka mule chumbanii kwa ulinzi wangu kutoka na kazi ambazo nilikuwa nafanya nisinge weza kukaa mulee ndani bila kisuuu, basi yule mama alikichukua kisu kisa akamchoma linah kwenye ubavuu , 


Nilishuhudia damu ya linah ikiruka hewanii kama majii ya dawasco vileeee, alianza kugombania rohooo yakeee  kabla sijafanya lolote pale  yule mama alinivuta mule chumbani kisha akaniomba tukimbie aliniambia tukimbie maana kama mtu yoyote angesalia pale angekamatwa kwa kosa la mauwaji bila hili wala lileeeee nilitoka mule ndani na bukta yangu tu ileeeee ya kulalia 


Tulitoka ndani mule kisha tukakimbia kwenye  gari, tulipo ingia tu kwenye gari  tuliwaona watu wanne wakiongozana na mwenyekiti mpaka muleee ndani  tulisubilii kisha wakaingia mule ndani baada ya kuhakikisha wote wameingia ndani yule mama aliwasha gari ili tuondoke paleeee ila kabla hatujaondoka palee  tulipataaa balaaaahaaaa jingineeeeee je niniiiiiii kitaendelea ???????????? je tutafanikiwa kutorokaaaaa paleeeeeeeeee??????????


SASA ENDELEAAAAAAAAAAAAA…………yule mama aliwasha gari tuondoke tukiwa tunakata kona ili tushike barabara kuu , tulisikia kereree ya watu wakisema gari letu lizuiliwe, yule mama alisema nifunge vioo vya gari ilibidi nifunge vile vioo vya gari, nilifunga vioo vya gari kisha nikafunga na mkanda safari ya kuanza kuchomoka kutoka kwenye lile tukio ilianza , nyuma tayali tulianza kufatiliwa na gari ambazo kwa haraka haraka zilikuwa kama tatu yule mama alijitahidi kupiga chenga ili tukimbie lakini naona hii haikuwa bahati kwetu maana tayali gari la asikali lilikuwa limefika eneo la tukio, tulijitahidi kwa uwezo wetu kikimbia lakini mambo yalikuwa magumu polisi walifanikiwa kutukamata wakishilikiana na wananchi walio jitolea, kwa kweli kila mwananchi alitamani tuuwawe palee laiti kama polisi wasingekuwa makini siku ile hakika tungepoteza maisha pale pale, niliona aibu sana maana kulikuwa na waandishi wa habari wakiwa wanatupiga picha  kibaya zaidi tena kilicho tuhalibia sifa ni kwenye lile gari ya yule mama , yule mama alikuwa ametembea na basitola ambayo alikuwa akiimiliki kinyume cha sheria , maana hakuwa na kibali chochote, licha ya ivyooo kwenye gari lake pia kulikuwa na madawa ya kulevya ambayo pia kwenye nchi yetu yalikuwa hayaruhusiwi, wakati tukiwa tumekamatwa pale uku wananchi wakitushuhudia alikuja polisi mmoja akatoa taarifa kwa polisi mmoja ambaye alikuwa akionekana pale kama mkuu wao maana yeye ndo alikuwa akitoa amri na akipokea simu nyingine ambazo kwa haraka haraka nilijua zinatoka kwa viongozi wakubwa wenye vyeo vya kumushinda yeyeee, yule asikali alisema kuwa yule mdada aliye chomwa kisu kafaliki kwa haraka haraka nilijua ni linah ndo kapoteza maisha , hakika ile siku ilikuwa mbaya kwangu maana tayali nilijua sisiii kupona kutoka kwenye mikono ya sheria  ni asimia ndogo sana , tulikaa pale kwa muda wa nusu saa baada ya hapo kuna gari maalumu lilikuja likatuchukua tukapelekwa moja kwa moja mpaka kituoni, muda wote huo wale maasikari walikuwa wakitupiga walisema sisiii ndo majambazi ambao tulikuwa tukiisumbua nchi kwa muda mrefu, tulipigwa sana maeneo ya maungo ya mwili {joint}, ivyoo mpaka tulipo fika kituoni hata kutembea ilikuwa ngumuu muda wote nilikuwa nikilia kama mtotoo mdogo ambaye hana mtu wa kumuliwaza nilitamani niyarudie maisha yangu ya umasikini kuliko haya maisha ya kupata pesa nyngiiii pesa ambazo zilikuwa za haramu , niliikimbuka familia yangu , ambayo nyuma nilikuwa nimeacha ugomvi mkali nyumbani baada ya kufumaniwa na mjomba wangu nikitembea na mke wake ndo nikaamua kukimbia nyumbani, nilitamani zile pesa nilizo kuwa ninge wasaidia wazazi maana wazazi wangu nyumbani walikuwa na hali mbaya wote walikuwa wakinitegemea mimi kijana wao, ambae nilikuwa nimeibeba future ya wazazi wanguuu , niliona mlango wa gereza uku nikiwaacha wazazi wangu na umasikini hawakufaidika hata shilingi mia moja ,roho yangu iliuma sana kuwaacha wazazi wangu walio kuwa wakinitegemea mimi kijana wao wa pekeeee, wakati nikiwaza wazazi wangu nilishitushwa na rungu la polisi mmoja kwenye mgongoo lililo nifanya nikipeke kifua changu mbele na kukirudisha nyuma uku nikiambulia maumivu makali ya lile rungu

“inaa maana hunisikiii?”alikuwa ni yule polisi aliye nipiga runguuuu

“afande mimiiii nilii…” kabla sijamaliza yule afande alidakiaaaaaaa

“sogea hapa utoe maelezo jambazi mkubwa weweeeee”

Nilisogea kisha nikaanza kusimua toka mwanzo nilivyo kutana na yule mama na alivyo nifanya mchepuko wake , kisha  nikaeleza jinsi alivyo niingiza kwenye madawa ya kulevya, pia nikaeleza kifo cha  linah  muda huo wote toka nilivyo fika kituoni sikufanikiwa kumuona yule mama tena ivyoo  kila mtu alitoa maelezo yake kivyake


*******baada ya miezi mitatu tulipekwa mahabusu yule mama alifungwa kifungo cha maisha , na mimii nilifungwa miaka 40, siku ya mahakama wazazi wangu walikuja mama yangu alilia sana nilimuonea huruma ila sikuweza kuisaidia familia yangu, mpaka sasa nipo gerezani nimeamua kuwaandikia vijana wenzangu walio na tabia kama yangu nikiwataka wabadilike 

MWISHOOOOO******

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.